Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
Mjasilia mali mmoja wa kuburn CD aliponea chupu chupu kufanyiwa kitu mbaya na mabaunsa, alifumwa na mke wa Mdosi wa Masaki. Huyo mwanamke ilikuwa kawaida kutinga kwenye geto la jamaa huku akiwa amepaki mkoko wake nje wanoko kumbe ule usafiri wanaujua siku ya kwanza walimpigia Mr. wa huyo mama vp tunauona usafiri wako maeneo ya Magomeni Mr. akawaambia wanoko kuwa huyo ni wife mi nipo Posta kazini. Basi ikawa kawaida mke wa mtu kufika kwa mburn CD kisha kumegwa za mwizi 40 siku kaaga anaenda K.koo kama ilivyo ada akapaki mkoko kwenye geto la jamaa mburn CD wanoko wakamshtua mwenye mke jamaa akaja na mabaunsa 4 huku na huku kugonga mlango jamaa akakataa kufungua jamaa wa chumba cha pili wakambeba wakamwambia akate seiling bord akarukia chumba cha 2 na kuvaa bui bui na kutokomea jamaa kubomoa mlango wakakuta mke yupo alone huku jamaa akiwa ametokomea.
Jamani akina mama lidhikeni na waume zenu jamani.
Jamani akina mama lidhikeni na waume zenu jamani.