Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

Sasa msigwa anahusika na nini hapa , kwanza msigwa hayuko katika kundi la vijana, huyu jamaa anaitwa chilisosi,naona ana akili ya kuku , anadhani kwa kukaa uingereza watanzania ni wajinga kama akili yake , anashindwa kuunganisha mambo ,hiyo hadithi haina uhusiano wote na jembe msigwa,
 
Sasa hivi umekuwa mnafiki sana ila kumbuka ccm haina fadhila na shukrani ya punda ni Mateke fanya yote utumiwayo na hao wanaokushikisha ukuta lkn huwez pata wadhifa wowote ule ndani ya chama na ata serikali unajisumbua tu endelea na vicamera vyako na kablog kako mpaka unazeeka lkn hutokuwa na jipya! Naona ukiritimba wako unatuletea hadi hapa mkoani kwetu lkn waswahili walisema "Mfa maji ......." unafiki uliofanya kwa Mwangosi unakutafuna na hiyo sio sababu ya kukwepa ukweli. Pole sana!
 
Mmchungaji Peter Msigwa wa Iringa mjini

Mkuu wangu Chilisosi huna haja ya kuendeleza fitina zako dhidi ya Msigwa kwani alikupa za uso tangu zaman kuwa jimbo la iringa mjini huwez kulichukua 2015, pia hata CCM tayar kuna mwarabu wa pale iringa town wamemwandaa so wewe endelea tu kubeba box huko ukimbizini.
 
Last edited by a moderator:
Father naona unataka kutapika!!!!!
Nyie wabunge vijana mkiambiwa ukweli hamtaki. Unapenda tu kusifiwa!!!!
Kuna slow learners na fast learners, I think you belong to the earlier group, you dont need to bark, just leave this silently mr MP.

Acheni wivu wa Kike Nyie.
Huyo maggid kakutana na huyo Mbunge kijana lini tokea 2010, then leo ndo anakuja kupost huu Ujinga
Ptuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yenu mnapenda sana kufuta threads zinazoibua madudu ya chadema

Hivi umejuaje kama hii habari inamhusu mbunge wa Chadema? Umejuaje kama ni Msigwa? Manake haijaelezwa sehemu yoyote kwenye hiyo habari uliyoiweka. kwa nini tusiamini kwamba huu ni muendelezo wa siasa zile zile zisizofaa?
 
Ndugu zangu,

Juma la kwanza tu baada ya Bunge kuanza mwaka 2010, nikiwa njiani kutoka Singida nilisimama Dodoma. Hapo nilipata bahati ya kukutana na mmoja wa Wabunge vijana kutoka kambi ya upinzani.

.

Hapo kwenye RED and Bold, maggid atakuwa kwenye janga la 62% ya Kawambwa, 2010!!!!!!!!!!
Huu ni zaid ya Wivu wa Kike Jaman
 
Last edited by a moderator:
Ni zamu ya wengine nao kula, kwani ni lazima iwe CCM tu, wakati wa watanzania wengine nao wapewe nafasi wakila sawa tu maana hata waliopo nao wanakula tu! Hatukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile!
Hapa ndiyo umeongea ukweli tupu.
Mambo mengine haya ya kuwaona wanasiasa wanaosimama majukwaani na maneno mengi wakivuja jasho hiyo ijulikane siyo kwa manufaa ya wanaotegemea siasa ziwaletee maendeleo bali kwa manufaa ya wavuja jasho.

Ndiyo maana kwa sasa vijana wengi wanataka wawe wanaSiasa. Siasa kwa sasa ni deal bana.

Ni wajinga tu ndiyo waliwao
 
Mkuu ZeMarcopolo habari bure kwani maggid hivi sasa yupi kwenye maandalizi makali ya kugombea ubunge pale iringa kijijin 2015.

Kwahiyo ndugu yangu Shardcole unaniambia kuwa yule dada anayekuja toka Norwich ni sehemu ya mpango huo?
Je, chama chake ni kipi?
Kwa kumbukumbu zangu kuna siku Maggid alisema yeye atashiriki kuleta maendeleo kwa njia nyingine na sio Ubunge/siasa.
Kweli JF ni chanzo namba moja cha habari...
 
Maggid ni kati ya waandishi niliokuwa namkubali,lakini siku zinavyozidi kwenda mind outlook totaly imebadilika,si yule maggid niliyemfahamu,leo hii anashabikia ujinga wa mbunge kulala bungeni na kumchukia mbunge kijana wa upinzani.Ningefikiri sio kila siku uwe na kitu cha kutupia jamvini,matokeo yake ni haya unaleta vitu ambavyo havilinganii na hadhi yako,mimi napata mashaka kidogo

Na pia usione wivu wa mtu kutumia pesa yake,we mara nyingi upo njiani unasafiri unaonekana ukinunua mahindi ya kuchoma na mananasi njiani nani kakulaumu ? ni pesa yako mwenyewe.Jiheshimu Maggid.
 
njaa mbaya..anatamani hata siku moja ateuliwe awe mkuu wa wilaya..ndo njaa ilipowafikisha baadhi ya waandishi wetu..
 
Maggid ni kati ya waandishi niliokuwa namkubali,lakini siku zinavyozidi kwenda mind outlook totaly imebadilika,si yule maggid niliyemfahamu,leo hii anashabikia ujinga wa mbunge kulala bungeni na kumchukia mbunge kijana wa upinzani.Ningefikiri sio kila siku uwe na kitu cha kutupia jamvini,matokeo yake ni haya unaleta vitu ambavyo havilinganii na hadhi yako,mimi napata mashaka kidogo

Na pia usione wivu wa mtu kutumia pesa yake,we mara nyingi upo njiani unasafiri unaonekana ukinunua mahindi ya kuchoma na mananasi njiani nani kakulaumu ? ni pesa yako mwenyewe.Jiheshimu Maggid.

Lakini mkuu, unadhani alichokifanya huyu mbunge kijana ni sahihi?
 
Ngoja nitembelee mjengwablog.com a.k.a jukwaa la Mwenyekiti kwa taarifa zaidi...
 
Alichosema Maggid ni ukweli mtupu. Si mnamkumbuka yule mbunge ambaye kwenye ukurasa wake wa facebook kila wakati anaweka status ya jinsi anavyokula raha kwenye Landcruiser Amazon yake. Aliposhinda uchaguzi tu kitu cha kwanza kikawa kutafuta X5.

Sasa hivi wale vijana wa bodaboda waliompigia kampeni hataki tena kukaa nao. Amesahau kuwa hawa walimpigia kampeni kutokana na matumaini aliyowapa.

Mpaka sasa hajatekeleza ahadi hata moja anayoweza kujivunia...

Hivi ukiwa mbunge basi uaifanye yale yanayofurahisha nafsi yako hata kama yana uhalali kisheria?
 
bur1_bea07.jpg
huyu hapa.

mjengwa.jpg
 
Kwa mwendo huu ni dhahiri waandishi wa habari wanatumiwa vilivyo kupindisha ukweli.
 
Kumbe maggid ni mtu wa watu sana. Nimetembelea blog yake nakuta habari zake nyingi akitumikia jamii.
Wadau, embu tujaribu kumuangalia kwa jicho lingine Maggid, tusijekujikuta tunamhukumu yeye kwa niaba ya historia.

View attachment 85377
 
Maggid hii habari umeitunga au kweli ilitokea? Vipi ushauri ulioombwa faragha na jamaa yako huyo leo unaumwaga hapa hadharani? kwani simliitana chemba? au aliitisha mkutano wa hadhara?
 
Back
Top Bottom