Sasa we ulitaka asiposhughulikia gari lake apande gari la mkwe wako? We Majid acha habar zako kwani nishakushusha hadhi tangu siku ile umewasaliti waandishi wenzako wa habar kwenye msiba wa mwangosi, We ni hatari na wa kuogopwa kama ukoma na 2015 ukishinda ubunge huko iringa kijijin mi ntatembea utupu nchi nzima.
Sasa tujifunze nini hapa?
Mmchungaji Peter Msigwa wa Iringa mjiniWacha woga kama kweli ulikerwa na huyo Mbunge wa upinzani kijana weka jina lake hapa na u-mention kwenye hii topic ili aje akubali ama akatae.
Unless other wise imekaa kiudaku sana hii coz wabunge vijana wa upinzani wanaongezeka kila kukicha so hatuwezi ishi kwa kuhisi ni nani....
Wacha kudhalilisha tasnia yenu bana.....too much blah blah.
hahahahaa PR manager wa kapteni Komba..hadithi yake inatufundisha Kepteeeeni aendeleee kulala...yeera, sponsored by magodoro dodoma:A S shade:
siamini ninachokisoma, ni ww maggid ama kweli ukiyastaajabu ya mussa ya firauni utayashangaa
Mmchungaji Peter Msigwa wa Iringa mjini
Mnafiki angekuwa nguo tungemtambua kwa rangi!
Kama kweli wewe una uchungu na nchi , acha unafiki na umtaje kabisa jina huyo Mbunge na chama chake ili wananchi tumtambue.
Wacha kumficha muovu.
Dalili ya mvua ni mawinguJimbo la msigwa linakuumiza kichwa sana kaka? rudi nyumbani uanze mipango mapema otherwise utaishia kupiga deal za hapa na pale tu nchi za watu
"fimbo ya mbali haiui nyoka"
Tamaa za fisi hizi. Vipi CCM wamekutelekeza nini?!June 2013 utaniona hapo kaka