Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

Soma upya utajifunza kitu hapa. Ukiona hujajifunza baada ya kusoma mara ya pili, achana na huu uzi manake utakupoteza mazima!!!! Some issues are beyond your mental understanding, it take years to reach through experience and education.
I dont have such a time to waste re-reading huu uzi.
Huu uzi hauna kitu chochote kilichojificha kusomwa Kiviiile, i trust my Level of Understanding....i dont have any Doubt about this.
Sijaona alichosema zaid ya Kukutana na Mbunge kijana na issue ya Gari Mpya ya Mbunge Kijana.
Hebu sema wewe Cha Maana ulichojifunza au ulichopata from this Thread
I repeate again, this Thread is one of Holy "Cra.ppest" Thread, Uzumbukuku Mtakatifu
 
Kwa hiyo MJENGWA ndiye chilisosi?!!!!!!!... Umepiga ramli kujua meseji hii inamhusu msigwa?
 
Nani asiyemfahamu Maggid kuwa anakula sahan moja na sisiem? unadhani ataweza kusifia upinzani yeye anachokiona kizuri ni kupiga usingiz kwa komba bungeni kweli siasa kazi.
 
Hakuna muhehe mnafiki....we ni mnafiki sana!!umejuaje kama ni Msigwa?
Yaani wewe mtu akitangaza nia ni mnafiki?
Acha ujinga jamaa yangu, mie nakuja huko na tutaonana uso kwa uso na kila mtu kwani nakuja ili tushirikianbe kuiendeleza Iringa yetu, mimi wewe na yule wote sie ni wana Iringa and we must be proud of our beloved Iringa!
 
I dont have such a time to waste re-reading huu uzi.
Huu uzi hauna kitu chochote kilichojificha kusomwa Kiviiile, i trust my Level of Understanding....i dont have any Doubt about this.
Sijaona alichosema zaid ya Kukutana na Mbunge kijana na issue ya Gari Mpya ya Mbunge Kijana.
Hebu sema wewe Cha Maana ulichojifunza au ulichopata from this Thread
I repeate again, this Thread is one of Holy "Cra.ppest" Thread, Uzumbukuku Mtakatifu

Father naona unataka kutapika!!!!!
Nyie wabunge vijana mkiambiwa ukweli hamtaki. Unapenda tu kusifiwa!!!!
Kuna slow learners na fast learners, I think you belong to the earlier group, you dont need to bark, just leave this silently mr MP.
 
Soma upya utajifunza kitu hapa. Ukiona hujajifunza baada ya kusoma mara ya pili, achana na huu uzi manake utakupoteza mazima!!!! Some issues are beyond your mental understanding, it take years to reach through experience and education.

mh! Mbona hajatumia fasihi yoyote ile? Au aliposema mbunge kijana? Eti bora komba na nyimbo zake za kuisifia CCM. Huyu jamaa mjengwa hata makala zake sio za kuumiza kichwa kama zingne, mfano zile za paschaly mayala (pasco), uandishi wake ni wa kawaida mno, jaribuni kusoma makala zake.
 
Naambiwa, naye siku hizi anapomaliza vikao vya kuongea hata na jamaa zake tu, haraka sana hukimbilia kutoa ' bahasha za nauli'.Siku hizi mbunge yule kijana ana gari zaidi ya ile aliyokwenda kuichukua Dar. Amekuwa mbunge-mfanyabiashara.

Acha uzushi na kuandika upuuzi mtu mzima wewe.......Huwa unamfuatilia kila akitoka bungeni? na kama ndiyo. Huoni una ajenda yako ya kutaka kumchafua makusudi? na kama yote hapana...huoni umeandika majungu ambayo hayafai kwenye jukwaa hili la siasa....hauna ushahidi bali maneno meengi kama vile mwandika mashairi?

"Siku hizi yule mbunge ana gari zaidi ya lile alilonunua Dar"....wewe unayo magari mangapi? mshahara wake we ndo unampangia asifanye biashara au asinunue gari zaidi ya moja?

Wangapi wabunge wenu siyo kwamba wana zaidi ya magari matano pamoja na kuhonga vimada wao lakini wana fanya biashara ya magari? na biashara nyingi za kifisadi?

Wangapi wabunge wenu wamekuwa matajiri wa kutupwa....mpaka bado wanaomba rushwa wananchi wao ili wawatimizie mahitaji yao?

Soo mlitaka Mbunge huyo kijana abaki kama alivyokuwa hajawa mbunge???

Nyuzi kama hizi ni za kufutwa.....kwanza imerudiwa na Mjengwa....so inaonesha mnalazimisha kutujaza maneno ambayo haya faida kwetu.

Mod plz...ondoa na hii
 
Ni Kitabu kipi na Sura ya ngapi katika Biblia simulizi hii ipo?
 
KAMANDA Msigwa anaingiaje hapa bwana chil??Uganga wako unadil na mapenzi,pesa,kazi na kupata uongozi pia??Hata kura zangu zisipotosha unaweza kuzijazia???Wallah una mambo weye.1+1=11vyema100%.
 
Aliteta kishindno furani il ampandishe jamaa yake aliangukia pua, jamaa ni mnafiki sana, kuna siku pia kulikuwa na mkutano wa CUF Arusha jamaa akaamua kuweka picha sijui za wapi ambapo kulikuwa na watu wengi kweli tofauti na hali halisi...............
Nani asiyemfahamu Maggid kuwa anakula sahan moja na sisiem? unadhani ataweza kusifia upinzani yeye anachokiona kizuri ni kupiga usingiz kwa komba bungeni kweli siasa kazi.
 
Ha ha ha haaa.....Maggid. Naona kama mbunge yule alikuwa muongo juu ya risiti za mafuta. Kwani bunge linajua kila mbunge ametoka wapi, na wala hawanaga sababu ya kupeleka risiti. Ni wana chati ya umbali, wanaangalia umbali na bei ya mafuta ya sokoni, na kuingiza pesa kwenye akaunti.

Nakushangaa kwa mbunge kutoa bahasha ya nauli ni tatizo kwako. na nakushangaa pia kushangaa mbunge huyu kuhangaikia gari lake, sijui angefikaje kwa wananchi.
Mbona wee kutwa wafanya kazi zako na gari lako,mtena muda wowote wasafiri.
Leta mambo ya msingi Maggid.

Duuu Remmy nimekupata sasa. Kumbe huyu jamaa Maggid mwongo.!Kwanini Maggid unatumia muda mrefu kuandika story ya uongo iliyojaa majungu? Na kwa nini Maggid hutaki mabadiliko? Njaa Mbaya sana. Na nimesikia uko kwenye Payrol ya Magamba toka 2007. Kazi kwako
 
Kama kawaida yenu mnapenda sana kufuta threads zinazoibua madudu ya chadema

Tokea 2010????????????
Hayo Madudu unakuja kuyaibua leo????? maggid ifikie point uonege na haya, acha wivu wa Kike Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom