Mbunge wangu SELASINI na mbunge wa kufikia LEMA, mimi nataka kura ya WAZI..

Mbunge wangu joseph mbilinyi nataka kura ya siri


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Hoja nyingi za bungeni huwa zinashindwa sababu ya kura ya wazi. Ccm wana lao jambo wanapolilia kura ya wazi. Wanataka kuwanyima watu uhuru
 
Ni bora ukaeleza faida za kura ta wazi kwanza kabla ya kufuata mkumbo kumshinikiza mbunge wako akaiombe maana hiyo kura ya wazi nijua mimi itaondoa uhuru wa mtu kwani atalizimika kufuata msimamo wa kundi lake..
 
Mbunge wangu Zitto nataka Kura ya siri. Mbunge wangu wa kambo Hamisi Kugwangala, Kilaza mkuu Aden Rage, Mzee wa vichanga Samweli Sitta, Mzee wa kubaka vitoto Kapuya naombeni KURA ya Siri itumike
 
Back
Top Bottom