Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Aisee!!!

Watanzania mna taabu sana nyie! Mbunge ameongea vizuri sana tena amemshukuru Magufuli kwa ujio wake.

Ameweza kuyasemea matatizo ya wananchi wake kikubwa ni mgogoro wa ardhi baina ya wananchi na wawekezaji.

Ameomba wananchi wale waliopisha mradi wa Museveni wapewe ardhi kwenye shamba la Amboni.

Amekazia yale yaliyosemwa na wenzake waliotangulia kama vile Upanuzi wa Uwanja wa ndege na fidia kwa wananchi.

Kwa ujumla mji wa Tanga hauna kero nyingi za kutisha na kwa ufupi leo Mussa Mbarouk amejitahidi kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My friend, do not bring narrow-minded thinking, hajakosea kusema maendeleo hayana chama, the guy is extremely correct. Take an example, DAR-BRT, is used by all Tanzanians, irrespective of their political parts they belong to. Moreover, Even fly-overs ambazo serikali inazijenga Dsm, zitatumika na watz wote, hata reli ya standard gauge ifkiisha, itatumika na watz wote. I kindly request you to justify how the Hon. MP was wrong about his statement. Watu mnakuwa na siasa za chuki, sijui hii ndo demokrasia mnayoitaka.
Hizi ndio hulka za vijana wa kizazi cha dot.com. Wao wanawaza ugomvi badala ya kushughulisha akili zao kwenye kuangalia fursa za maana.

Akili nyepesi hutafuta sababu za ugomvi, akili zenye busara hufikiria maendeleo.
 
Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma. copied..."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"

Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Mkuu umesikiliza vizuri wakati anaongea Huyo Mbunge mbona aliongelea kero nyingi tu za wananchi wake kwa raisi ikiwapo mojawapo no maswala ya bomoa bomoa kule uwanja wa ndege kupisha upanuzi wa uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesikiliza vizuri wakati anaongea Huyo Mbunge mbona aliongelea kero nyingi tu za wananchi wake kwa raisi ikiwapo mojawapo no maswala ya bomoa bomoa kule uwanja wa ndege kupisha upanuzi wa uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, alikuwa na mambo ya msingi sana aliyotumwa na wananchi wake. Akaongea kaduchu ako, yale ya msingi akayaacha
 
Lipumba hakujitoa amenunuliwa na CCM hakuna fisadi UKAWA bali Richmond ni ya kikwete, upuuzi unao mwenyewe usiyejua kuwa CCM inatumia pesa nyingi kudidimiza vyama vya upinzani badala ya viwanda na maendeleo, kwa sasa Lipumba anavuna mabilioni toka CCM amewageuza CCM buzi la kuchuna pesa huku Madalali wa siasa wakineemeka kupitia mgongo huo.
duh...hizi propaganda zako unadhani zinaweza saidia kuokoa jahazi linalozama. Ukiambiwa utoe ushahidi wa hayo mabilioni sijui utaupata wapi... ujinga tu.. mi nadhani ni bora kutambua na kujua ukweli ili ukuweke huru na from there utafute solution ambayo ni permanent.. tatizo lenu ukweli hamuupendiii kabisa...
 
Mkuu Retired,nimesikitika sana kuona idadi kubwa ya ukilaza uliopo humu JF. Uzi upo wazi kabisa lakini watu hawaelewi. Hili ni tatizo kubwa sana,linaonyesha kwa jinsi hali ya uelewa wa Watanzania wengi ulivyo mdogo sana. Inasikitisha sana kuona kiwango kikubwa cha kukosekana umakini.
 
Lipumba hakujitoa amenunuliwa na CCM hakuna fisadi UKAWA bali Richmond ni ya kikwete, upuuzi unao mwenyewe usiyejua kuwa CCM inatumia pesa nyingi kudidimiza vyama vya upinzani badala ya viwanda na maendeleo, kwa sasa Lipumba anavuna mabilioni toka CCM amewageuza CCM buzi la kuchuna pesa huku Madalali wa siasa wakineemeka kupitia mgongo huo.
Kwani Cuf walivyokuwa ccm b nao pia walifaidika kiasi gani?
 
Kwa nini hampendi amani ilihali mnaogopa virungu?
 
Mkuu Retired,nimesikitika sana kuona idadi kubwa ya ukilaza uliopo humu JF. Uzi upo wazi kabisa lakini watu hawaelewi. Hili ni tatizo kubwa sana,linaonyesha kwa jinsi hali ya uelewa wa Watanzania wengi ulivyo mdogo sana. Inasikitisha sana kuona kiwango kikubwa cha kukosekana umakini.

"Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama"????

Wewe umeelewaje hapo maana mkuu?
 
Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma. copied..."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"

Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.

MSIKILIZE bosi wako Mbowe hapa halafu tuambie maoni yako mleta mada

Back
Top Bottom