Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma. copied..."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"
Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.