Ni kweli kabisa, maendeleo hayana chama. Alichopaswa kusema ni kuwa maendeleo bila uhuru wa kutoa maoni na kuwa na democrasia ya kweli, hayawezekani!Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma.
Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
MuniombeeNisisikie mtu anajivunia bomba la mafuta hilo limeletwa na serikali ya CCM
Maendeleo hayana chama
I am caught up somewhere
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebo! Mlitaka Mhe Mbunge amvae Rais kama Lema alivyomvaa RC. Safi sana Kamanda. Mabadilikooo!Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma.
Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Mbona Rwanda imewezekana?Ni kweli kabisa, maendeleo hayana chama. Alichopaswa kusema ni kuwa maendeleo bila uhuru wa kutoa maoni na kuwa na democrasia ya kweli, hayawezekani!
duuuu kwa hiyo hamtaki wabunge wenu washirikiane na rais halafu eti mnataka demokrasiaMbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma.
Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Tatizo kina Lissu wapo Dar wanaendeleza upayukaji. Zitto naona amejifunza kitu, amerudi jimboni na anakuwa sehemu ya maendeleo ya jimbo lake.Sasa hivi angalau chadema mmejiongeza mmeanza kufanya mikutano majimboni kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bumbuli ni wapi?Mzee Mwapachu peke yake alipata bahati hiyyo kutokana na utendaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unakuwa na uelewa, nasema ameshindwa kusema kero za wananchi wake anashupalia kumpongeza. Elewa contextduuuu kwa hiyo hamtaki wabunge wenu washirikiane na rais halafu eti mnataka demokrasia
Nashukuru umenielewa.Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
kumsifia magufuli tu imekuwa kosa eti wananchi wamemchokaHuyu Jamaa Musa mbaruku hana nafasi awamu ijayo..!kashakuwa mbunge mzigo tanga!wananchi washamchoka!
Ni kweli kabisa ni upeo mfinyu kuandika lugha ya kiingerza unapotaka kuwasilisha jambo muhimu la kitaifa, watanzania tuige nchi kama China, Ufaransa, Ujerumani na nyinginezo ambao wanajali lugh za kwao.Kiswahili ni lugha unayoimudu zaidi,naweza kuthibitisha!
Huelewi, we ni mgumu kuelewa. Soma post hii nimeitoa hapa aliyeelewa" "Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"Mambo haya ndiyo hadi wengine wamefikia kusema viongozi ambao ni wakristo ndiyo madikteta na wenye kusababisha maisha magumu ikatolewa mifano ya Nyerere,Mkapa na sasa Magufuri.
Huyo naye analeta uchama kwenye maendeleo hana tofauti na mwenye kuleta udini kweye siasa.
Soma kwa makini context ya post yangu ...Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"
Pamoja na hiyo hoja ni hii: (nimeitoa kwa aliyejibu) "Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"Ni kweli kabisa, maendeleo hayana chama. Alichopaswa kusema ni kuwa maendeleo bila uhuru wa kutoa maoni na kuwa na democrasia ya kweli, hayawezekani!
Hoja ni nii....Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"Anawawakilisha wananchi siyo ukawa