Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Kwani kadanganya? Ni kweli maendeleo hayana chama wala dini wala kabila.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Ni kweli kabisa, maendeleo hayana chama. Alichopaswa kusema ni kuwa maendeleo bila uhuru wa kutoa maoni na kuwa na democrasia ya kweli, hayawezekani!
Uhuru wa kutoa maoni binafsi naona upo, ila kinachokosekana ni UHURU WA KUPOROMOSHA MATUSI Kama wanavyofanya CHADEMA
 
Kwaiyo mlitaka afanyaje? Mnahubiri demokkrasia lakini mnataka kuwafunga mdomo wabunge wenu waseme wanachotaka viongozi wao ukawa na sio mawazo ya mbunge mwenyewe.

Pfyuuuuuu hawa Ukawa sijui KAHAWA kichwani zero kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kadanganya? Ni kweli maendeleo hayana chama wala dini wala kabila.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
soma hapa naona hujaelewa...............Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara...................
 
Kwaiyo mlitaka afanyaje? Mnahubiri demokkrasia lakini mnataka kuwafunga mdomo wabunge wenu waseme wanachotaka viongozi wao ukawa na sio mawazo ya mbunge mwenyewe.

Pfyuuuuuu hawa Ukawa sijui KAHAWA kichwani zero kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
rubbish, hujaelewa soma hhapa.............."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"
 
Ajishughulishe siasa hainaga kupumzika yeye kapata ubunge kesharelax hajui maccm yatampopoa!

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma.

Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Principally he's right lakini wenzetu iko shida kidogo utadhani hela hizo wametoa loumoumber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa ni upeo mfinyu kuandika lugha ya kiingerza unapotaka kuwasilisha jambo muhimu la kitaifa, watanzania tuige nchi kama China, Ufaransa, Ujerumani na nyinginezo ambao wanajali lugh za kwao.
Mbona lissu alivyogoma kutoka courtroom alikuwa akituma ujumbe kwa lugha ya kiingereza kwa jamii au kwa vile lissu?

Binafsi jamaa ajakosea kwasababu katumia lugha zote hadi wewe umemuelewa na kujifanya mkosoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soma hapa naona hujaelewa...............Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara...................
Sio kila platform unaitumia kuwadilisha shida. Kuna platform nyingine unanyamaza, matatizo yapo kila mahala na Rais anajua otherwise hiyo shida iwe kweli inahitaji intervention ya rais.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Sio kila platform unaitumia kuwadilisha shida. Kuna platform nyingine unanyamaza, matatizo yapo kila mahala na Rais anajua otherwise hiyo shida iwe kweli inahitaji intervention ya rais.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
Rubbish? kama alivyokuwepo Museveni sawa unaminya matatizo, lkn ya leo, ndio the right forum! Utampata wapi baada ya hapa
 
rubbish, hujaelewa soma hhapa.............."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"
Rubbish na wewe pia...mwaache hamsifie si kaona utendaji mzuri kutoka mheshimiwa rais na kauelewa. Au kumsifia mtu dhambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My friend, do not bring narrow-minded thinking, hajakosea kusema maendeleo hayana chama, the guy is extremely correct. Take an example, DAR-BRT, is used by all Tanzanians, irrespective of their political parts they belong to. Moreover, Even fly-overs ambazo serikali inazijenga Dsm, zitatumika na watz wote, hata reli ya standard gauge ikiisha, itatumika na watz wote. I kindly request you to justify how the Hon. MP was wrong about his statement. Watu mnakuwa na siasa za chuki, sijui hii ndo demokrasia mnayoitaka.
Wana siasa za kibwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama, sijui umepitia mlango wa nyuma. copied..."Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"

Subiri 2020 utapata majibu ya kauli zako za leo. CCM hawatakubali uzibe nafasi zao, kwa hiyo umekwisha. Umeshindwa hata kuwamwambia kero za watu wako wa jimbo la Tanga ukaishia kumtukuza Rais.
Kumbuka hiyo Ukawa haiko kwa mujibu wa sheria!
 
Rubbish? kama alivyokuwepo Museveni sawa unaminya matatizo, lkn ya leo, ndio the right forum! Utampata wapi baada ya hapa
Yawezekana hujui mkuu, Keki ya Taifa hugawanywa bungeni kila mwaka. Jukwaa sahihi la mbunge kuwasilisha matatizo ya wananchi ni wakati wa bajeti. Kwa Rais unawasilisha tatizo linalohitaji intervention ya Rais kwa kuwa juhudi nyingine zimeshindikana kama vile kubadilisha matumizi ya ardhi n.k. Kumbuka Rais hana hela mfukoni, pesa zipo hazina na zinasambazwa kwa kuzingatia mgao wa bajeti uliokubalika bungeni. Anachotakiwa ni kumsumbua waziri wa fedha ili bajeti iliyitengwa kwenye halmashauri pesa yake itolewe kama ilivyopangwa ili miradi ya maendeleo itekelezwe.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Back
Top Bottom