Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Mbunge wa Tanga umewaangusha UKAWA

Huyo ni mbunge makini anachoangalia maslahi ya wapiga kura wake.
Kwa taarifa sahihi UKAWA ilikufa baada ya uchaguzi mkuu 2015
 
Kweli kabisa, alitakiwa asimame jukwaani aombe nchi wahisani watunyime misaada.
 
Uwe unakuwa na uelewa, nasema ameshindwa kusema kero za wananchi wake anashupalia kumpongeza. Elewa context
kwani hapo magufuli alikuwa anafanya nini
kwanini asimpongeze kwa hilo analozindua kwanza
 
Maedeleo ni kweli hayana chama labda kwenu nyiee wajinga msio na shule ,je maedeleo akileta mwanachadema yanafaidisha wana chadema au hata ccm wanafaidi ,hivi nyie manaojitoa ufaham au ni bangi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa form 4 failure, angalia waliojibu walioenda shuel..."Hujaelew mtoa hoja, ameshindwa kutetea hoja za shida za wananchi wake ameishia mambo ya maendeleo hayana chama. Ilibidi aseme shida za wananchi wake. Kuna mambo ya msingi ya kuyasemea wananchi"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mlitaka aseme maendeleo yameletwa na chadema????

Sent using Jamii Forums mobile app
elewa, soma hapa ...Hujaelew mtoa hoja, ameshindwa kutetea hoja za shida za wananchi wake ameishia mambo ya maendeleo hayana chama. Ilibidi aseme shida za wananchi wake. Kuna mambo ya msingi ya kuyasemea wananchi"
 
elewa, soma hapa ...Hujaelew mtoa hoja, ameshindwa kutetea hoja za shida za wananchi wake ameishia mambo ya maendeleo hayana chama. Ilibidi aseme shida za wananchi wake. Kuna mambo ya msingi ya kuyasemea wananchi"
[emoji15] kutetea hoja za shida za wananchi wakati wa ufunguzi wa mradi??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi, we ni mgumu kuelewa. Soma post hii nimeitoa hapa aliyeelewa" "Kusema maendeleo hayana chama sio kosa kosa ni kutokuwasilisha Shida za wananchi na kukalia kumsifia mtu kwa kutimiza wajibu wake unaomlipa mshahara"
Mbaruku umesahau kuwa kama si UKAWA usingeliupata ubunge, Tanga ni ya CCM. Uliibuka mshindi kwasababu ya UKAWA, leo unasema maendeleo hayana chama

Halafu unawaambia watu hawajakuelewa,hebu nieleze hapo ulikusudia nini.?
 
Wewe utakuwa form 4 failure, angalia waliojibu walioenda shuel..."Hujaelew mtoa hoja, ameshindwa kutetea hoja za shida za wananchi wake ameishia mambo ya maendeleo hayana chama. Ilibidi aseme shida za wananchi wake. Kuna mambo ya msingi ya kuyasemea wananchi"
mbona hamkumsema kubenea alipoacha kwenda kwenye uzinduzi wa hosteli wakati ile shughuli ilikuwa inahusu jimbo lake au wana ubungo hawana shida
na hapo ndio napata jibu kuwa mtu yoyote anaemsapot rais nyie kwenu ni adui yenu
 
Ukawa ndio upuuzi gani wewe.ondoa takataka hizo sasa zimekuwa zilipendwa.. mnafanya ukawa utafikiri ni muunganiko wa vyama wakati ilikua ni issue ya bunge la kikatiba tu. Ukawa yenyewe ilishasambaratika baada ya kuvamiwana watuhumiwa wa ufisadi.. hivi sasaimebaki chadem peke yake, sababu Lipumba alishajitoa, nld haipo, nccr imepoteza mwelekeo! ,, sasa ukawa iko wapi...
Lipumba hakujitoa amenunuliwa na CCM hakuna fisadi UKAWA bali Richmond ni ya kikwete, upuuzi unao mwenyewe usiyejua kuwa CCM inatumia pesa nyingi kudidimiza vyama vya upinzani badala ya viwanda na maendeleo, kwa sasa Lipumba anavuna mabilioni toka CCM amewageuza CCM buzi la kuchuna pesa huku Madalali wa siasa wakineemeka kupitia mgongo huo.
 
Huyo ni mbunge makini anachoangalia maslahi ya wapiga kura wake.
Kwa taarifa sahihi UKAWA ilikufa baada ya uchaguzi mkuu 2015
Ukawa haijafa licha ya CCM kutumia mabilioni ya pesa za Umma kuidhoofisha.
 
mlitaka aseme kuwa yeye ndiye kaleta huo mradi?
Ndio, kwasababu in Jimbo lake KiKATIBA na Haki yake. Jimbo Sio LA magu wala LA CCM.
Na mafisiemu hawawezi kuhamisha Bomba.

CCM wame-LAZIMIKA Kuachia Bomba lipite hapo kwa wapinzani.

Kiuhalisia majimbo yote nchini yalikua ya CCM zamani. Ila kwa uzembe wamenyang'anywa katika uchaguzi.
Walie tu.

Na maendeleo yanayo Chama. Ndio maana wananchi wanafanya maamuzi ya kupiga kura kwa maendeleo yao.

CCM wanalialia kua maendeleo hayana chama wakati huohuo wakija kitaifa hawataki wabunge WA upinzani wajitambulishe kwenye majimbo yao. What a Double standard,?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
narudia tena maendeleo hayana chama tatizo sio kusifia kwa muono wako tatizo ni kusema maendeleo hayana chama
 
Bavicha wana tabu sana.Hivi Magufuli akienda Hai mnategemea Mbowe atatoa kauli ipi?
 
Hujaelew mtoa hoja, ameshindwa kutetea hoja za shida za wananchi wake ameishia mambo ya maendeleo hayana chama. Ilibidi aseme shida za wananchi wake. Kuna mambo ya msingi ya kuyasemea wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya wapiga kuna wake ni maendeleo ambayo hayana Chama, we vipi huelewi vitu vidogo kama hivyo? Au ulitaka aombe maandamano yasiyo na ukomo?
 
Back
Top Bottom