Mbunge wa Rorya Lameck Airo (Obama) kujiuzulu ubunge?

chadema mnatakiwa makapi mengine muyapishe itoshe ya shibuda aliyeshindwa kuvumilia akaenda kuparty na ccm wkt msimamo wa cdm ni kuzira
 
,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani "' mwisho wa Kumnukuu

Wakiambiwa kupata madaraka CCM ni fedha yako wanabisha, acha waseme wenyewe!
 
kurudisha kadi yake na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida

shua Iyangalo, akirudisha kadi atabaki kuwa kama nani? mwanachama?, Mpenzi?, mkereketwa?, Mdanganyika? Mtazamaji? au nani?
 
Hana Elimu kwanza yeye anaongelea pesa tuuuu, pesa sio kila kitu bwana Lameck, bungeni itakulazimu kujenga hoja na wala pesa hazitakusaidia. utaumbuka sana mwaka huu jaduong
 
"Nitarudisha kadi nibaki kuwa mwanachama wa kawaida"......Kuna tatizo kubwa kuliko hilo mnalolifikiria kwa Mbunge huyu.Utarudisha vipi kadi na halafu ubaki kuwa mwanachama wa kawaida?Kweli tumefikia kuwa na Wabunge wanaofikiria low kwa kiwango hichi?.......Katika marekebisho ya Katiba,wazingatie pia kiwango cha Elimu cha muomba uongozi,vinginevyo hatuwezi kukwamuka hapa tulipokwama!
 
"'kama pesa ninazo sikuhingia kwenye siasa kuganga njaa bwana mdogo ,ninao uwezo wa kuwaajiri wajumbe wote wa kamati ya siasa ya mkoa, haiwezekani wakate jina la ochele anakubalika kuliko hata mimi ,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrrani"


Sidhani kama uwezo wa kuajiri wajumbe unakupa nguvu ya kila utakacho kifanywe au mchango wa Ochele kifedha siyo kigezo muhimu kama jamaa anavyotaka kiwe... Hapa ndipo hasa tunapomlilia Mwalimu Nyerere. Nini hii jamaa anaongea.. Elimu kweli muhimu
 
Hivi ndo sinema imeanza??
mbona mapema sana??
tulitegemea mambo ya kikomedi lakini sio mapema hivi, ngoja tuwahi popcorn zetu tusipitwe!!!!
 
"'kama pesa ninazo sikuhingia kwenye siasa kuganga njaa bwana mdogo ,ninao uwezo wa kuwaajiri wajumbe wote wa kamati ya siasa ya mkoa, haiwezekani wakate jina la ochele anakubalika kuliko hata mimi ,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani "' mwisho wa Kumnukuu

Baada ya kuwekeza sasa ni wakati wa mavuno, ndio maana anataka swahiba wake awe mwekiti wa halmashauri ili watafune vizuri hela za walipa kodi...Kwa hili nawapa pole warorya kwa kukubali kofia na fulana za manjano wakatoa kura kwa mbunge atakayelifanya jimbo kuwa asset ya kufanikisha malengo yake
 
Haya ndio matuunda ya CCM kuwakumbatia wafanyabiashara ambao utajiri wao haufahamiki chanzo chake.Huyo Ochele pamoja kuwa na elimu ya msingi ya darasa la 7,alipata vijisenti vyake through magendo na biashara ya samaki kwenda Kenya kupitia njia za vichochoroni kukwepa kodi.

Aliweza kuleta vurugu kubwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na kufanya watendaji wengi kuacha kazi.Ilipotengwa Wilaya ya Rorya,Pia aliendekeza fujo zake na kufanya wilaya mpya ya Rorya kushindwa kupata hati safi ya matumizia ya fedha.Kwa bahati mbaya yeye na mwenzake Lameck walikuwa wakitamba kuwa Rorya itatawaliwa nao hadi hapo watakapoacha wenyewe na kwamba maafisa wakuu wa TAMISEMI makao makuu walikuwa kwenye payroll zao.

Kwa madudu yao wamefanya CCM kuchukiwa Rorya na pamoja kutaka kudanganya kuwa wana wafuasi wengi Rorya.

Kwa taarifa yenu tu,huyo Ochele hata kijijini kwao Ng'ope,Kata ya Roche hakubaliki.
Ni bora CCM ikaachana nae aendelee kuuza chumvi kwenye duka lake pale Liberty-Mwanza na Lameck nae andelee na Hotel yake na biashara zake za maduka.
 
Mhe Mbunge wa rorya Lameck Airo ametishia kujiuzulu ubunge baada ya mgogoro kuibuka juzi baada ya kamati ya siasa kukata jina la rafiki yake charles Ochele obuto kugombea uenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya

Mbunge wa Rorya Lameck Airo amesema endapo maamuzi ya kamati ya siasa ya mkoa hayatatenguliwa yuko tayari kurudisha kadi yake na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida

"'kama pesa ninazo sikuhingia kwenye siasa kuganga njaa bwana mdogo ,ninao uwezo wa kuwaajiri wajumbe wote wa kamati ya siasa ya mkoa, haiwezekani wakate jina la ochele anakubalika kuliko hata mimi ,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani "' mwisho wa Kumnukuu

anatishia nyau tu huyo.

hana lolote
 
safi sana msimamo wako ni mzuri sana!karibu sana chadema!!


mkuu bado sijakuelewa, hapo ni msimamo gani unaouwongelea!!!?? Unataka kuniambia chadema ni jalala la kupokea wahuni kama hawa, wafanya magendo? Nilivyomuelewa mimi mtoa mada, huyu jamaa sio mwanasiasa ila anatafuta platform ya kufanyia magendo yake, ndio maana analazimisha mtu wake ndi awe mwenyekiti wa halmashauri, ili wafanikishe malengo yao, je chadema unawahitaji wanasiasa wa calibre hii? Msaada tutani.
 
Back
Top Bottom