TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Mimi ni mwanadamu kua mpumbavu ndio kazi hasa ya mwanadamu

I'm doing my part correctly kua mpumbavu....
Basi kaa na upumbavu wako ukisubiri wabunge wafe kwa wingi sana, huku ukiamini wametunga kwamba kafa kwa ajali kumbe ni corona.
 
Ameandika Hilda Newton kupitia twitter:

Watu wa karibu na familia ya Atashasta Nditiye wanasema jamaa amekufa kwasababu ya changamoto ya kupumua lakini Ndugai anadai kuwa Nditiye alipata ajali ya gari, sasa sijui tushike lipi kati haya.?
 
Shika walichosema watu wa karibu na familia. Naanza kuamini hata Che Nkapa inawezekana ilikuwa changamoto
 
Nashauri kama itawezekana tusirudie tena uchaguzi bali tuchukue mshindi wa pili kwa matokeo ya kura......Kama itawezekana kwenye hili jamani kuliko kupoteza muda na hela zetu
 
Ni kweli juzi tarehe 10 majira ya asubuhi eneo la Nzuguni (Nanenane) mkabala na stendi kuu ya Mabasi kulitokea ajali ya kugongana uso kwa uso kati ya gari moja hivi ya kisasa yenye rangi nyeusi na coaster yenye rangi nyeupe.....

Weka picha.
 
Ameandika Hilda Newton kupitia twitter:

Watu wa karibu na familia ya Atashasta Nditiye wanasema jamaa amekufa kwasababu ya changamoto ya kupumua lakini Ndugai anadai kuwa Nditiye alipata ajali ya gari, sasa sijui tushike lipi kati haya.?
Ndugu ndio waliokuwa karibu na mpendwa wao..
Achana na yule kiazi anaekaa pale mbele bungeni.
 
Back
Top Bottom