Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,239
- Thread starter
- #81
Waganga unao ?Huyu mtu naomba wamfikishie taarifa zangu kwamba 2025 ni zamu yangu. Naomba tafadhali asijaribu tena kuniwekea ukauzibe wa namna hii
Waganga unao ?Huyu mtu naomba wamfikishie taarifa zangu kwamba 2025 ni zamu yangu. Naomba tafadhali asijaribu tena kuniwekea ukauzibe wa namna hii
Waganga nao siku hizi wanafanya kazi za Mungu kumsaidia baadhi ya majukumu Yake ? Wameanza lini?Waganga unao ?
ulijuaje?ccm karibu wote wamevutishwa bangi ya Chato, huenda wanaamini huyo mtu ni immotal wakati ni spana mkononi
Ni nabii wa kweliulijuaje?
MmhNaunga mkono hoja ya Mh: Mbunge