Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga aomba Rais Magufuli atawale milele

Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Rais Magufuli ataongezewa mihula mingine miwili 2025 that is for sure!

Watanzania wazalendo ikifika 2025 tutaanzisha kampeni kubwa sana ambayo haijawahi kutokea katika Taifa hili ya kutaka katiba especially for him the Majestic President John Joseph Pombe Magufuli irekebishwe ili aweze kuwa mgombea wa mihula mingine miwili ili kizazi kilicho haribiwa kwenye kipindi hiki cha miaka 30 kisipate tena nafasi ya kushika madaraka na kulirudisha Taifa letu tukufu duniani kule kule tuliko kuwepo.

Nasema hapa; "No way!" Narudia tena "No way!" Wajerumani wanasema; "Nur über meine Leiche!"
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Kuna mistari ya bible tajiri mmoja alikua busy kutafuta Mali kujaza ktk ghala ili baadae aje astarehe na kula. Yesu akamwambia mpumbavu ww bwana wa majeshi usiku wa Leo atakuja ichukua roho yako Na hivyo utaviacha. Jiwekee hazina mbinguni
 
Naunga mkono hoja, siasa ife kabisa sijaona faida yake zaidi ya wao wanasiasa kugawana ruzuku na mafao tu na kila siku kusumbua mawakili kesi zetu za msingi hazisikilizwi lkn za siasa zinapewa nafasi...
Kikibaki chama kimoja cha siasa hata gharama za uchaguzi zitapungua,

Wizi ulikuwepo upo na hautaisha eti sababu ya siasa, hao wanasiasa wenyewe wote wezi tu.
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Hivi anajua maana ya neno"milele" kweli!! Kwanini asiseme awe rais wa maisha badala ya kutumia neno milele.
 
Kumbe muda wote huo tunawaona kama binadamu, kumbe ni kizazi cha nyani?

CCM ni balaa sana. Mnaongozwa na manyani na mpo comfortable tu...

MAOMBI MAALUM YANAHITAJIKA
Sasa wewe unafikiri rangi ya kijani inawakilisha nini!
 
Nnafikiri sasa vigezo vya kuwa mbunge vipitiwe upya, haya mambumbumbu sijui wanachaguliwaga na nani, yaani huyu ndio mtu unategemea awe msemaji wenu? Kwa akili hizi za ubongo wa mende? Hawa wanataka kucheza na nchi yetu ndio maana yanawaza ujinga tu
 
Deni la nje liko kwenye Matrilioni na wanazidi kukopa bajeti yetu haiendi bila Msaada
 
YAANI HADI AIBU, NDIO MAANA ANAJIITA mUNGU...ETI NAPE KASHATUBU NAWASUBIRI NA WENGINE WAJE WATUBU.
Mkuu acha tu. Umenifurahisha ulichoandika hiyo mUNGU. Maana ina maana si yule wa MILELE. ILA WAJUE KUWA MANGUFULI NI MAUA YATANYAUKA TU NA AWEZI ISHI MILELE.MAANA NI MWANADAMU ATATOWEKA KAMA WENGINE. Sote tutapita.
 
Mimi sishangai kuwaona wabunge wanamkubali Jiwe. Kwanini wasimkubali wakati yaliofanyika wakati wa kupiga kura tunayajua. Nchi zote isipokuwa Uganda na burundi na labda china ndio waliotoa hongera kwa Jiwe. Wengine wanaangalia tu watanzania walivyo.
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Naunga mkono hoja ila isiwe milele bali tumuongezee mzee baba MITANO TENA, hilo halina ubishi
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Huyu mtu naomba wamfikishie taarifa zangu kwamba 2025 ni zamu yangu. Naomba tafadhali asijaribu tena kuniwekea ukauzibe wa namna hii
 
Back
Top Bottom