Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga aomba Rais Magufuli atawale milele

Mie naona wanampiga vijembe kiaina vile lakini moyoni siyo kweli. Vilevile wanafikiri ikiwa hivyo basi na wao watakuwa wabunge wa milele kwenye majimbo yao.
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Alietuhumiwa kuvuta bangi..
Lisemwalo lipo
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Atawale milele?ina maana ay)amltakuwa mungu wa pili sasa .hivi huyo "mbunye"wa makambako anajua maana ya milele?
 
Kuna mambo mengine unabidi ucheke tu
Huwa najiuliza JK alijitahidi kukuza maisha ya Mtz mbona hawa wapuuzi hawakusema aendelee milele? Ipo shida na anayesifiwa kuzidi Mungu mbona hakemei yupo anajichekeshchekesha ni kwamba anawatuma

Mwisho wa hii awamu si mzuri nadhani tuanze kuwahurumia kwani yanayokuja mbele yao WATAJUTA but it will be too late
Lenye Mwanzo halikosi Mwisho

Mungu aonekane kwa haya nchi inapitia
Katika watu ambao watabeba lawama kubwa katika nchi hii ni JK. Haya yote yanayotokea yeye kayasababisha. Kuitupa kapuni rasimu ya Katiba mpya iliyotokana na maoni ya Watanzania wenyewe ni dhambi kubwa na ndiyo imezaa hii sintofahamu tunayoshuhudia sasa.
 
Watu wa aina yake inabidi wafanye hivyo mbona 2020 na wao wanajua hawatarudi chini ya mwenyekiti wa CCM.
Ukiona CCM anayebwabwaja sana ujue hana sifa ya kuwa mgombea ndani ya chama chao na ikumbukwe kila jimbo lina kijana maalumu anayeandaliwa kuwa mbunge, sasa mvuta bangi kama huyo atafanyaje zaid ya kujikomba mbele ya mwenyekiti?
Jambo la kushukuru tu ni kwamba hawa watu watakatwa mikia 2020 na hapo ndio tutazijua rangi zao halisi.
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Ni sawa tu ila tukumbuke historia walikuwepo kina Kamuzu Banda, Mobutu, Mengistu Haile Mariam na wengineo wa kariba hiyo ni vipi ulikuwa mwisho wao?
Wanaadamu tumeusiwa tuwe na "kiasi" tusipitilize... mema ufanyayo kwa muda mfupi yanaweza haribiwa muda mrefu kwa maana "HAKUNA MWANADAMU ANAYEWEZA DUMU KATIKA HALI MOJA MUDA WOTE!!"
 
Huyu si ndiye aliyekuwa anasakata Rhumba wakati ile katiba mpya pale Bungeni inapitiswa wakati wa utawala wa Kikwete? Kwa hapa nafikiri hata ukimuuliza hili la katiba katika bunge lile nini kilizungumziwa atakujibu kuwa akumbuki. Wenye kuwa na ile Clip tafadhali tupieni humu.
Huwa tunapoandika "wazee wa vigelegele na viunu" huwa tumemaanisha maana wao vichwa na bongo viko likizo matumbo kazini...
Siku hizi nashangaa na kujiuliza "WAKO WALIOKUWA CCM KINDAKINDAKI HUMU JF WAKO KIMYA KAMA HAWAKO KUNANI?" kumeibuka kwa bidii "jingaletu" na watu wa kariba yake...
 
Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele

Huyu Mvuta Bange ana uhakika gani kuwa yeye,CCM na Magufuli wataishi milele?
Alichoongea hapo ni bange tupu!
 
Back
Top Bottom