Mbunge Wa Kiteto Afariki

mtuwawatu

Senior Member
Oct 30, 2007
104
2
HABARI ZINASEMA MBUNGE WA JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA MH. BENEDICT KIROYA LOSURUTIA AMEFARIKI DUNIA LEO JIJINI DAR. KWA MUJIBU WA REDIO ONE MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA KOTA ZA BANDARI KURASINI, DAR.

source: Issa Michuzi
 

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
544
21
Let the succession race na ulaji begin. Utasikia, "uchaguzi Kiteto kugharimu Tsh 1 billioni". Kufa kufaana.
Pole kwa wafiwa. Mungu amlaze mahali pema peponi.
 

Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
885
Today is a grim day maana naonma this afternoon 3 prominent figures wamepoteza maisha yao in different circumstances!
Poleni wafiwa wote! RIP!
 

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,396
198
Mungu amlaze pema Mhe Losurutia. Nini kilichomsibu mwenzetu? Ya kufa kufaana yapo sana, usishangae watu washajipanga sasa hivi tayari na wapambe kurithi nafasi (tulipokuwa JKT tulikuwa tunaita "kabaroff", mtu anapoondoka mstarini, wa nyuma anasogea mbele kuziba nafasi).
 

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,396
198
Today is a grim day maana naonma this afternoon 3 prominent figures wamepoteza maisha yao in different circumstances!
Poleni wafiwa wote! RIP!

Who are the other two? Majina na nyadhifa zao tafadhali naomba.
 
M

MegaPyne

Guest
Leo watu wengi mashuhuri wamekufa. Mhh. Something is wrong today!

Poleni Wafiwa
 

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,734
115
I guess they are not important enough for an IPPMedia.com newsflash
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,347
17,368
POLEN SANA WAFIWA kithuku hiyo ipo hadi CHAMA CHA MAFISADI UKITOKA MWENZIO ANASOGEA ,,HIVYO YALIOMKUTA MHESHIMIWA DK,MCHUNGAJI RWAKATARE KUFA KUFAANA
 

Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
9
Mungu ni mwema hatimaye huyu ameitwa mbele za haki .Mzee wa Kijijini the last thing ni jambo la kawaida tu kukosea ku type it is should not be a big deal.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom