Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,861
- 93,648
Hoja ya Kishimba ina mashiko sn mkuu, kati ya Kishimba na Lipumba nani ana manufaa kwa jamii? Kishimba ameajiri watu kibao, Lipumba ameshindwa hata kuajiri house girl, ni aibu tupuHahahaha ndio maana nikasema awali wanaoponda hoja za mzee kishimba watakuwa on the advantaged side! Mtu yuko UDSM ana lecutre anapokea 2M au zaidi kwa mwezi lazma amuone kishimba mwehu flani! Degree inakuwa na maana kama unaifanyia kazi mahali na kulipwa pesa ya kuridhisha.
Ila wanaozunguka juani na bahasha for 4 years in a row na kazi hakuna! Wazazi wameuza asset wakijua wanakukomboa ni msiba kwa kweli. Hamna mzazi mwenye nia njema asiyependa mwanae aendeshwe kwenye STK. Hawa ndio wanamuelewa vizuri kishimba!
Kwahiyo watu wasipewe degree kwa sababu msukuma hana ila ana manufaa kwa jamii?Kubishana na wewe ni kupoteza muda, wewe hiyo degree yako inamaanufaa gani kwa jamii? Msukuma na Lipumba nani mwenye manufaa kwa jamiii?
Na mbali na yote elimu yetu inanunuliwa kwa gharama kubwa sana kiasi kwamba huoni mantiki kama ikifikia umetumia million 20 kusomesha kila mtoto kisha wote waje kuwa mzigo tena baada ya shulw kuisha!Au na cpa yake ni teller bank, inakatisha tamaa elimu yetu
Kufanya quotation kuna hitaji degree au kuingiza vifaa kwenye ledger napo mpk uwe na degree?Unataka utafiti, amesema na akakutaka wewe kama msomi, useme, ni kivipi ubongo wako pasipo kukaa chuo miaka mitatu ukisomea manunuzi huwezi kuelewa? Fanyia utafiti Hilo wewe kama msomi
Inashangaza sanaAt least sasa tunaongea lugha moja. Mpaka wakati wa JK Madaktari wote walikuwa wanaajiriwa na Seikali na Hospitali binafsi. Lakini Mwendazake miaka 5 hakuajiri, amaekazana na kununua bombardier na kununua wabunge! Still demand ya Madaktari nchini bado ni kubwa, Serikali haikuona kuwa ni priority
Leo tunasahau chanzo cha tatizo na tunaanza kuponda elimu yetu nzuri. Na tunamshangilia Msukuma wa Darasa la 7, eti ana point?? CRAZY
Hatukatai degree lakini watu wapewe baada ya ku-deliver kitu fulani siyo hii kukaririshwa darasani bila sababu za msingiKwahiyo watu wasipewe degree kwa sababu msukuma hana ila ana manufaa kwa jamii?
Usomi wako ndio ule wa kuuliza watu unanijua Mimi...?At least sasa tunaongea lugha moja. Mpaka wakati wa JK Madaktari wote walikuwa wanaajiriwa na Seikali na Hospitali binafsi. Lakini Mwendazake miaka 5 hakuajiri, amaekazana na kununua bombardier na kununua wabunge! Still demand ya Madaktari nchini bado ni kubwa, Serikali haikuona kuwa ni priority
Leo tunasahau chanzo cha tatizo na tunaanza kuponda elimu yetu nzuri. Na tunamshangilia Msukuma wa Darasa la 7, eti ana point?? CRAZY
Yeah hawa std 7 wengi wana mamiradi miradi huko mtaani na wameajiri watu wa kutosha! They are street smart guys! Kwa hapo lazma tukubaliane tu mkuuHoja ya Kishimba ina mashiko sn mkuu, kati ya Kishimba na Lipumba nani ana manufaa kwa jamii? Kishimba ameajiri watu kibao, Lipumba ameshindwa hata kuajiri house girl, ni aibu tupu
Sijawahi kuona elimu ya Tanzania kama inafaida! Hili mimi nilishaliona nikiwa form three 1998 na nilipomaliza form four nilisusia hata cheti cha form four! Nilikuja kufundishwa na mzungu msouth afrika kuhusu uhifadhi kwa miezi mitatu na nikavolonteer ngorongoro walah MWEKA walikuwa wakija nawafundisha wakajua mimi professor!!!ππAsamehemwe, hajui alisemalo. Yaani elimu ya miaka mitatu itolewe kwa miezi nane? Hayuko siriasi kabisa huyo Mbunge
Kwahiyo mwalimu apewe degree yake baada ya kufaulisha wanafunzi?Hatukatai degree lakini watu wapewe baada ya ku-deliver kitu fulani siyo hii kukaririshwa darasani bila sababu za msingi
Mkuu degree zinapaswa zitolewe field kuwa mtu amefanya hiki hata kama ni kidogo lakini kina manufaa kwa jamii, kazi nyingi maofisini ni copy and paste hakuna ubunifu wowote, kuandika vocha kuna hitaji CPA? ni mambo ya hovyo kabisa kuna watu mtaani wamebuni umeme n.k hao ndiyo tulipaswa tuwape degree na siyo hizi za kukaririshana.Yeah hawa std 7 wengi wana mamiradi miradi huko mtaani na wameajiri watu wa kutosha! They are street smart guys! Kwa hapo lazma tukubaliane tu mkuu
Wewe Pslmp nawe ni Darasa la 7, usikurupuke kubisha hoja zangu huna uwezo huo. Acha nipambane na wenye Degree zao akina Extrovert na wengineAcha wivu!
Kishimba kakupa mtihani wewe kama msomi, Umjibu kisomi, anauliza....!
Ni nani aliyesema Kwamba, ubongo wa Mwanadamu bila kufundishwa mwaka mmoja Kwa somo moja hauwezi kushika na kuelewa?
Je, kusomea manunuzi ni lazima iwe miaka mitatu?
Je, kuna aliyefanya liseach ya hayo akafahamu uwezo wa ubongo wa Mwanadamu kuwa masomo ya kusomea manunuzi, ili mtu aelewe inahitajika asomee miaka mitatu ni Nani huyo?
Acheni kubisha kila kitu, fanyieni kazi hayo wasomi wetu muone kama hatukingizwa chaka na mkoloni
Uzembe unaweza kuwa ulifanyika mahali ila kumbuka pia kazi ya udaktari ni practical job! Wale jamaa wanaspend masaa mengi wodini kuliko darasani!At least sasa tunaongea lugha moja. Mpaka wakati wa JK Madaktari wote walikuwa wanaajiriwa na Seikali na Hospitali binafsi. Lakini Mwendazake miaka 5 hakuajiri, amaekazana na kununua bombardier na kununua wabunge! Still demand ya Madaktari nchini bado ni kubwa, Serikali haikuona kuwa ni priority
Leo tunasahau chanzo cha tatizo na tunaanza kuponda elimu yetu nzuri. Na tunamshangilia Msukuma wa Darasa la 7, eti ana point?? CRAZY
Acha kuni-attack bila sababu za msingi twendeni kwenye hoja na siyo hii elimu yetu ambayo haina manufaa, mimi hata hii F4 yangu failure sijaitumia hata robo kabisa.Kwahiyo mwalimu apewe degree yake baada ya kufaulisha wanafunzi?
Na political scientist je ?
Dogo unajadili jambo zito ambalo huna uelewa nalo. Nenda kajitafutie mkate tu
Wewe huna uwezo wa kujenga hoja. Soma kwa wenye akili zao uelimike, siyo lazima kupostUsomi wako ndio ule wa kuuliza watu unanijua Mimi...?
Unahamisha tu magoli
Af mtu anakwambia unahitajika uzoefu wa miaka mitano!πππMkuu degree zinapaswa zitolewe field kuwa mtu amefanya hiki hata kama ni kidogo lakini kina manufaa kwa jamii, kazi nyingi maofisini ni copy and paste hakuna ubunifu wowote, kuandika vocha kuna hitaji CPA? ni mambo ya hovyo kabisa kuna watu mtaani wamebuni umeme n.k hao ndiyo tulipaswa tuwape degree na siyo hizi za kukaririshana.
Ni mambo ya hovyo sn mkuu tuna tia aibu kabisaAf mtu anakwambia unahitajika uzoefu wa miaka mitano!πππ
Im like what tha Fukk yani miaka mitano ya kuongea na watu kwenye simu? Namiliki simcard ya tigo for 18 years now! Hapo kazi ni ya customer service call centre!
Sasa mtu unahitaji degree kweli kwa kazi ya kupokea simu na kuongea na wateja!?
Mi nakwambia maofisi yetu haya mengi ukiacha yale ya watu wa medical environment na engineers wanaotumia mihesabu migumu, au watu wa actuarial science basi kazi nyingi zinafanyika tu tena kwa training ya muda mfupi tu!Huyu mbunge amekuwa akinifikirisha kwa hoja zake hasa katika sekta ya Elimu. Ninajifunza kuwa kwa namna unavyopanda daraja la kiellimu ndivyo unavyojitenga na natural intellegence na kuongeza artificial intellegence.
Mfumo wa Elimu yetu ni wa kucopy na kupaste ila hauzingatii context tuliyonayo. Ni kweli kuwa Elimu yetu inalenga kwenye progression kutoka education sub sector moja kwenda nyingine bila kuwa na picha kubwa kuhusu stadi zinazohitajika kwenye soko la ajira au kujiajiri.
Ni jambo la busara elimu yetu ika reapond market demand kutoka kwenye real business/working world. Kinyume cha hapo , utoaji wa elimu utakuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya raslimali.
Wito wangu ni huu, kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu utoaji wa elimu yetu kwa kuzingatia muktadha wetu wa sasa na ule ujao.
Mheshimiwa Jumanne Kishimba ana hoja asibezwe kutokana na namna anavyowasilisha kwa sababu logical thinking yake iko driven na natural intellegence.
Kuna suala la supply and demand hapo sasa ndiyo suala la Serikali tena ambapo wamekosea. I hope TCU ndiyo wana approve mitaala ya kufundishwa vyuoni. Kwa course kama HRM in the past ungeikuta UDSM, Mzumbe, CBE na UDOM.Uzembe unaweza kuwa ulifanyika mahali ila kumbuka pia kazi ya udaktari ni practical job! Wale jamaa wanaspend masaa mengi wodini kuliko darasani!
Huwezi fananisha na mtu mwenye degree ya HRM ambaye anashinda darasani kukariri ma theory na modules! Huyu mtu ili elimu yake iwe na maana ni lazma aajiriwe sasa what if ajira zikiwa hamna! Ina maana akaanze kukaanga mihogo WTF is this? Elimu za aina hii ndio hasa zinazoongelewa na kishimba!