peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,833
- 21,466
Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM.
Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la CCM wilaya.
Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?
Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred Kinana na comred Chongolo.