Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

O

Ofisi za CCM huwa zinajengwa na wabunge?Je,hiyo ni miongoni mwa majukumu ya mbunge?
 
Kwa akili yako ya kindezi umeshindwa nini kuleta picha ambayo unaiona ni sahihi na siyo hiyo iliyowekwa jamvini.
Wewe unaeishi kwa kuamini kila andishi bila tafakuri endelea kuwa hapo ulipo na nyumbu wenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom