Vyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Wewe ndio mjinga kama sio zuzu
Vyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Wanadhaliisha elimu za watu na maana nzma ya honorary degree.
Hiz ni PHD za Heshima hivyo nadhani ni sawa.wanazo wengi,yaaani hapa yoyote yule mwenye kuleta solutions zenye impact kwenye matatizo ya jamii anastahili tuzo hii.na kwa upande wangu hii ni kitu mhimu zaidi kuliko kufanya academic research ambayo itakuwa imeelezea kwa ufasaha matatizo na solution halafu ikawekwa kabati.Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
View attachment 2033988
tena wanavimba mfukoni hakuna kituNi sawa tu..hizo prof..dk..eng..hazina maana yyte karne hii...bongo tunazitumia kuvimba mtaani
Kuna jina kwa kingereza vyuo kama hivyo vinaitwa nimelisahau. Lakini maana yake ni 'viwanda vya kuzalisha shahada'. Una vijisifa kiasi na umashuhuri and then unalipa pesa dola kadhaa wanakupa Phd ya heshima. Wanakuja kutoka huko kwao wanakuvisha joho 😂Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
View attachment 2033988
Hao jamaa wa chuo cha USA wamepotoshwa na maprofesa feki wa UDOM ambao ndiyo wametoa mapendekezo feki wakati wakijibu madokezo yaliyoletwa na hao USA.
Ujinga kabisa
Bro kukalili vitini ni mifumo tu mibovu ya elimu lakini bado elimu ina umuhimu wake katika jamii. Ukiwa na less educated community lazima upigwe na watu conscious katoka maeneo mbalimbali duniani ambao wameelimika na wanajua ku unblock fursa. Elimu kwa ajiri ya kusaidia jamii yaana kuwa na elites wa kutosha katika maeneo mbalimbali ya huduma za jamii. Tuache majungu tuangazie mitala yetu ya Elimu tuone kama inakizi matakwa ya kipindi hiki kama sio basi ifumuliwe iboreshwe. Jamii iliopotoka inaitaji kuelimishwa juu ya umuhimu we elimu kwa watoto ili tupate kazazi kichoweza kufanya analysis, kilichopikwa kizalendo chenye uwezo we kulea tunu zetu za taifaWabongo bhana, hawaelewi hata umhimu wa elimu.
Kama kipimo cha elimu ni kufanikiwa(kuwa na pesa) katika maisha.
kama wazazi wanavyotarajia pindi wanapowapeleka watoto wao shule basi msukuma anastahili phd.
Tuacheni janja janja elimu ni mafanikio katika maisha sio zaidi(kukalili vitini kama flan)
Kikwete ni wa kupewa? Mambo mengine ni watu wanajifurahisha tu. Mtu kama marehemu Mengi nilipoona amebadili mtindo mpaka anatumia ''Dr'' nilibaki kupigwa na bumbuwazi inakuwaje watu wenye akili wanakubali cheap popularity kama hizi. Sina pingamizi na watu kupewa hizi za heshima lakini angalau ziilishie kwenye makaratasi tu na siyo mpaka mtu aitumie kwenye jina.Vyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Naomba nijue, yakwako unayo au Bado Iko pale geti la kijani, walioziacha pale pekee ndio watakubaliana na hoja Yako, kwa maana hiyo wote waanze kuzitafuta kama hizi za hapo chukua chako mapema('..cm)Nimpongeze tu mh Dr Joseph Kasheku aka Msukuma kwa mafanikio makubwa aliyoyapata.
Udaktari wa heshima una thamani kubwa duniani kuliko huu udaktari wa kuandikiwa papers na kufanyiwa tafiti
Binafsi namuona Dr Msukuma amepiga hatua kubwa sana ya mafanikio.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Mnadharau elimu za watu huku mkitafuta vyeo vya kielimu kwa udi na uvumba. Acheni unafiki. 👆😂😂Nimpongeze tu mh Dr Joseph Kasheku aka Msukuma kwa mafanikio makubwa aliyoyapata.
Udaktari wa heshima una thamani kubwa duniani kuliko huu udaktari wa kuandikiwa papers na kufanyiwa tafiti
Binafsi namuona Dr Msukuma amepiga hatua kubwa sana ya mafanikio.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Uko sahihi kama uko nje ya bongo.Bro kukalili vitini ni mifumo tu mibovu ya elimu lakini bado elimu ina umuhimu wake katika jamii. Ukiwa na less educated community lazima upigwe na watu conscious katoka maeneo mbalimbali duniani ambao wameelimika na wanajua ku unblock fursa. Elimu kwa ajiri ya kusaidia jamii yaana kuwa na elites wa kutosha katika maeneo mbalimbali ya huduma za jamii. Tuache majungu tuangazie mitala yetu ya Elimu tuone kama inakizi matakwa ya kipindi hiki kama sio basi ifumuliwe iboreshwe. Jamii iliopotoka inaitaji kuelimishwa juu ya umuhimu we elimu kwa watoto ili tupate kazazi kichoweza kufanya analysis, kilichopikwa kizalendo chenye uwezo we kulea tunu zetu za taifa