NG'OMBE
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 362
- 81
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili kutokana na matendo yake hapa duniani .
umesema kweli mkuu
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili kutokana na matendo yake hapa duniani .
Kwani hayo mabomba yanatoa maji wakati wote?
HATA MIMI kusema ukweli mara niliposikia ETI lile jimbo kashinda na kkumtoa yule Bwana kwanza nilimuonea Huruma sana.....sitaki mniulize nini Ila ndo hayo yaliyomkuta ...mana sio kila mtu anataka umyanganye Tonge la sivyo mawili ujikabidhi sana kwa Mungu ama ujichemshe kwa Babu bagamoyo...,..(yote mawili yanawezekana )anayebisha anyooshe kidole!
Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
View attachment 133696
Source: EA Radio
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu
NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa
Halafu ukishajua??
Wakati anaumwa hakuhangaika kwenda kumjulia hali na kumuuliza anaumwa nini, leo kafariki ndio anajitia unafiki wake kuulizia alikua anaumwa nini.usihangaike na huyo jamaa , naona anapanga kunitafutia shari .
Om Shanti Om
alikuwa anaugua tumbo muda mrefu alishafiwa tiba India, akijiandaa kurudi tena afya ndio ikabadilika...
Msiba unaandaliwa nyumbani kwake mitaa ya Kibamba....
Kaese Bhai, Mukide? Saab tik he?
imekuaje kafia bongo( Taasisi ya Mifupa MOI )!!?.haya ni maajabu kuwahi kuyashuhudia kwa kiongozi aliyewakilisha chama kubwa na tajiri-CCM.RIP BWANA MDOGO.