Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
Useless kabisa wewe
Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
View attachment 133696
Source: EA Radio
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu
NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa
Kifo siasa kila kitu siasa duh hiyo ndio Tanzania!
Utaniambia kama Rizmoko hajachukua fomu
Poleni sana wafiwa.
Ila uchaguzi lini?
Maana jimbo liko wazi.
Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
CHADEMA haisogezagi Pua maeneo kama haya!
Mungu amrehemu na ampumzishe kwa amani.
amefariki kipindi ambacho operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
Misukule UTU wao umechukuliwa na itikadi za kisiasa.
Poleni sana wafiwa.
Ila uchaguzi lini?
Maana jimbo liko wazi.
unaambia amefariki , habari kamili ipi unayoitaka ? Kama ni mipango ya mazishi wasiliana na ndugu wa marehemu walioko chalinze .
Poleni wafiwa tupo Pamoja kwenye msiba mzito - wakati huo huo wana CDM jimbo hilo liko wazi cha msingi ni kujipanga maana matokeo ya 2010 yanaonyesha CDM hamkuwa na mgombea nafasi ya Ubunge sijui nini kilitokea - matokeo yalikuwa hivi.
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]PWANI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA BAGAMOYO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]CHALINZE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] BWANAMDOGO SAIDI RAMADHANI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]32,924[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 87.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KINGWALA MIRAJI ALLY [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]2,837[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 7.52[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] NEEMA MFUNGO MASAMAKI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]DP[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]299[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.79[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] WAZIRI ISSA TOWAKALI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]263[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Poleni sana wafiwa.
Ila uchaguzi lini?
Maana jimbo liko wazi.