Haya ndio masuali ya kuulizana wakati huu maana tukizika lazima turudi kwenye masuala ya kitaifa (uchaguzi)Poleni sana wafiwa.
Ila uchaguzi lini?
Maana jimbo liko wazi.
Pole zangu kwa wanafamilia n wananchi wa jimbo la Chalinze. Kwani sharia ya uchaguzi inasemaje kuhusu muda wa mwisho juu ya kuitisha uchaguzi mdogo akifaki mbunge kabla ya uchaguzi mkuu??
taarifa nilizopata ni kwamba alikuwa na kansa ya utumbo.
Ndani ya siku 90 yaani miezi mitatu tume inatakiwa kutangaza kuwa jimbo liko wazi na kuitisha uchaguzi mapema sana
kwahyo mwezi wa 4 hiv
Apepe Mh. Bwanamdogo.
Haya Bw.Madega jimbo hiloooo. CHADEMA isihangaike kwenda kule Watu wa kule jimbo la Chalinze kuanzia Msata,Mbwewe,Lugoba,Mboga,Msoga, Chalinze,Vigwaza,Mdaula,Ubenazomozi na Bwawani wametimiziwa ahadi ya Maji kutoka Wami! kwa hilo tu CCM itapeta tu.
View attachment 133696
Source: EA Radio
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu
NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa