Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.
Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
- RUSHWAIlikuwa Takrima sio tehe tehe pesa ina majina mengi

A person is pressumed innocent until proved guilty...
Tanzania inanukia vita baada ya miika mitano maana duh?