Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.
Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

tena yawezekana hata sehemu wanayosema alienda hajafika toba yarabi!

Hivi ukakuta mtu amepata ajali na amekatika kichwa utasubiri daktari aje athibitishe kama
amekufa?Hiyo rushwa lazima kulikuwa na mkono wa TAKUKURU,hivyo wana ushaidi wa kutosha.
Jimbo lingine la CDM hiloooooooooooooo!
Nakubaliana na wewe mkuu haikuwa rushwa ile ila alipokea Mlungula