Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

mbunge wa bahi(ccm) omar badwel hakupokea rushwa. Kusema mbunge badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge badwel amefikishwa mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, mahakama ya hakimu mkazi kisutu ndiyo itakayosema kuwa mbunge badwel amepokea rushwa au la.mbunge badwel anaendelea kuwa mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
hakupokea rushwa ila alipokea kifutajasho
 
Mahakama itasema.Tabia hii ikiachwa,itawasumbua hata Makamanda watakapokuwa na kesi Mahakamani. Tusubiri,tusikie

kafulila alitamka mapema hata kabla hajapokea. takokuru hawawezi kumpeleka mahakamani kama hakupokea. atafute mil 5 ampe hakimu then hakim aseme hakupokea.
 
Waulizeni wapiga kura wa Jimbo la Bahi kuhusu huyo Mbunge wao. Kwa wanaomfahamu katoka huko alikotoka na kuwashinda waliotarajiwa kwa nguvu yake ya vijisenti. Ukweli ndugu zetu wa Bahi waliponzwa na "ndigwa" na matokeo yake huyu mburushi akawapiku wote walioshindana naye. Hivyo kwa wale wanaofahamu nini kilitokea Bahi, hawashangazwi kuhusu tuhuma zinazomkabili. Si anajaribu kurudisha kile alichotoa mapema kabla jua halijachwa?
 
Naunga mkono 100 kwa 100 kuwa kisheria mbunge bado ni mtuhumiwa tu. Ila ni jambo la kawaida watu kupata hofu maana huyu ni mbunge ambaye kabula ya kupelekwa mahakamani lazima vyombo husika vijitosheleze kuwa mazingira na ushahidi unatosha hasa kwa mbunge hasa wa CCM kupelekwa mahakamani na serikali ya CCM. Si ajabu kusikia kesi za kubambikwa kwa walala hoi lakini ikifanyika tena kwa mbunge wa chama tawala basi tutakuwa na maswali mengi zaidi ya kujiuliza kuhusu vyombo vyetu vya uasalama; kama si kwa ajili ya wananchi wanaowalipa ujira (kutokana na kodi yao) ni kwa ajili ya mtu? watu fulani? au wao hawatawaliki! Acheni watu waseme kwani mbona mtu wa kawaida ambaye hatugharimu tena mnyonge tunasema mengi bila mpaka? Hili ni fundisho kwa watu wenye dhamana kwa gharama kubwa kuwa na maadili mazuri hata haya yasitokee. Mara nyingi wakubwa kama hawa hata wakiwa na hatia mambo ya hupoozwa hawafungwi kwahiyo hii ndiyo nafasi pekee aliyonayo mwananchi kumuadhibu kwa maneno ya kistaarabu na hawatukani ila ni ya kuhoji tu vipi mbunge mwenye dhamana ya wananchi kwa gaharama yote hii ajiachie mpaka haya yamfike?
 
kweli ni mtuhumiwa lakini kachafuka.inabidi vyama vianze kuandaa watu makini a kuchukua jimbo
 
[h=6]omary badwel wanabahi tumedhalilika sana ingawa hatujasikia mahakama nayo inasema nini lakini tayari tumekwisha dhalilika wapiga kura wako na sasa tumeamua kuondoa imani yetu kwako na sasa tunatafuta tumaini jipya kwa jimbo la bahi[/h]
 
omary badwel wanabahi tumedhalilika sana ingawa hatujasikia mahakama nayo inasema nini lakini tayari tumekwisha dhalilika wapiga kura wako na sasa tumeamua kuondoa imani yetu kwako na sasa tunatafuta tumaini jipya kwa jimbo la bahi

 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Ilikuwa ni ujira wa mwiha
 
Yaleyale naona ndio mnatuandaa kuipokea hukumu ya kushangaza. HAYA BANA WW TANGIA LINI UKAWA MAHAKAMA? Acha hizo hata kama ww ni msemaji wake angalia na maneno ya kuongea sio pumba kama hizi
 
Itakuwa vyema ukaisoma sheria ya kuzuia rushwa ya 2007 hasa kifungu cha 15. Issue hapa ni kwamba mbunge amedai na kupokea rushwa. Takukuru walipokea taarifa ya kudai rushwa wakaweka mtego alipokabidhiwa hiyo millioni 1 akaipokea na ndipo akakamatwa. Thus anashitakiwa kudai na kuipokea hiyo rushwa ya milioni moja. Aliipokea hiyo rushwa kabla ya kukamatwa. Takukuru husubiri uipokee ndipo wakutie mbaroni wapate evidence kuwa uliipokea. Mahakama sasa itakachofanya ni kusikiliza utetezi wake ama alitegeshewa au alikuwa anamdai huyo aliyempa ama hiyo milioni moja haikukamatwa naye. Hapa sasa ni kuishawishi mahakama kupitia wakili wake na yeye mwenyewe kwamba hela anayodaiwa kuipokea haikuwa rushwa. Hii itategemea na waendesha mashitaka pia wamewekaje ushahidi wao kama walimkuta anazo hela za mtego au la!

Dah!ccm bwana wananifurahisha,kwahiyo wameamua kuwekeana mitego! Km mbwai mbwai tu...ukimwaga mboga namwaga ugali!
 
Wote tunakubalina kuwa huyo mbunge anatuhumiwa kupokea RUSHWA, Vipi wewe mkuu (VUTA-NKUVUTE) umejuaje hajapokea hiyo RUSHWA?!

Uzuri ushahidi ushakamilika na kama si pilato kuamua kusogeza tarehe ya kesi hii mbele basi ngoma huenda ingekuwa ishakatwa kufika leo. Siku si nyingi mkuu utajua ukweli katika kesi hii; cha msingi ni haki itendeke basi.
 
A person is pressumed innocent until proved guilty...

Wakili wa aina gani wewe badala ya kusema anatuhumiwa kuomba na kupokea rushwa/ana mashtaka ya kuomba na kupokea rushwa, unasema hajapolea rushwa??
Vipi bana!! Umeshatoa hukumu ya tuhuma/ mashtaka/ shitaka lake??
 
mwaka 2002 alituhumiwa kuibaa mifuko 15 ya cement kutoka world vision kijiji cha chipanga ambapo yeye alikua diwani wa chipanga! mwaka 2007 alifukuzwa uenyekiti wa halmashauri kwa tuhuma ya kujilipa posho kuanzia mwaka 2007 hadi 2010 yani amejilipa posho ya miaka 3 mbeleni! mwaka 2010 alivunja rekodi ya kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM,mwaka jana Omar Bad-well ali gombana na dereva wake kuwa hakuwahi kumlipa mshahara wake kwa miezi 8 mfululizo! lakini katika kijiji cha chipanga amekua akifanya mapenzi na kijana wa kiume kwa yeye kumuingilia kinyume na maumbile na yeye kuingiliwa kinyume cha maumbile na kijana huyo aitwaye Noel mtoto wa mwalimu wa shule ya msingi!
 
Back
Top Bottom