Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

Nina maumivu makubwa moyoni mwangu..
I can't explain the feelings in terms of words!!
Nadhani maumivu (physical and psychological) aliyonayo Mh. Lema hapo kitandani katika hospitali ya Mt. Meru yanalandana sawia na maumivu niliyonayo moyoni.
Anyway, get well the soonest Mkuu..mapambano ndiyo yameanza!
 
Uko JF miaka mingi lakini naona hakuna elimu iliyokwisha ingia kichwani! Kwa nini?

Mbona hata primary ungekaribia kumaliza.
Nilitaka nikugongee thanx lakini ckujua pa kuclick natumia mobile ila umesema kweli hawa ndiyo walewale wenye ukoma wa akili
 
Naomba mnikumbushe hivi Arusha ina madiwani wangapi jumla na idadi ya madiwani wa CCM na CHADEMA
 
Kama thread hii inachosema ni cha ukweli Tanzania tunaelekea pabaya. Polisi anahusikaje katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri! nimeambiwa hata Mwanza walitapakaa kila mahali wakati madiwani wanabishana juu ya taratibu za uchaguzi. Hivi kama ccm kweli ni chama kinachosimama upande wa amani, mbona ni katika maeneo yale tu ambacho kimepata viti vichache vya udiwani ndipo penye chokochoko?
 
Nafikiri kesi ya Kigoma na Arusha ni kesi mbili kidogo tofauti.

Kesi ya Kigoma imekaa zaidi kisiasa na uongozi wa NANI ATAWALE.

Kesi ya Arusha imekaa zaidi kibiashara na zaidi ni VIWANJA.

Madudu ya viwanja vya Arusha ni Mazito sana na watu lazime wawe wakali ili wasinyang'anywe ardhi zao.

Ila hizi ni mbio za sakafuni. Ona wengine wanamtisha Waziri Tibaijuka sasa. Huyu mama akija Arusha, watu watalia.

Kuna ile kesi ya Viwanja vya juzijuzi ambavyo nilisoma hata Ridhiwan alipewa. Hiyo na vile viwanja vya Lowassa inaleta jibu moja tu kuwa lazima watapigana usiku na mchana ili Meya atoke CCM na huyu Meya kazi yake itakuwa kulinda Maslahi ya Mafisadi.

Ila Chadema lazima waendelee na utaratibu wao wa kuchagua Meya kama wao ndiyo wenye madiwani wengi. Mji uwe kama kwa wenzetu wenye marais wawili. Labda ndiyo njia pekee iliyobaki dunia hii.

Ahh, msimjali sana Kibunango maana yeye ni Mzenji. Nafahamu kuwa Vita yetu sisi ni furaha kwao. Wakati wao wanachinjwa, anaamini kabisa sisi tulifurahia. Sasa sisi tukichinjwa, kwa nini yeye ASIFURAHI? Nina imani kuwa wengi wa Wazenji wana mawazo kama haya ingawa SI WOTE. Hii ndiyo Tanzania.
Sure mkuu, Vitega uchumi vya mafisadi na wakwepa kodi wakuu pia viko hapa, ...wanajenga mahoteli kila siku na kuleta mikutano yote ya kitaifa na kimataifa Arusha ili kujineemesha, lakini wagumu kutimiza jukumu LA KODI...sHIDA YOTE IKO HAPO TU!...Wapinzani hawatakiwi hapa!
 
Haya mambo ya wanasiasa kutembea na silaha yametokea wapi? Watu kama hawajajifunza ya Ditopile, tutegemee wanasiasa wengine kupata matatizo kama hayo huko mbeleni.
 
Mambo yanazidi kuwa Magumu...

Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo, inasema Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini ameachiwa huru, na kisha akaanguka na kuzirai mbele ya Ofisi ya mkuu wa Wilaya Arusha.
Ujumbe unasema amekimbizwa katika hospitali ya mkoa ya Mount -Meru akiwa taaban..

Kazi ya Thobias Andengenye aliyemrithi Basilio Matei inadhihirika sasa!

Aiseee Kumbe Andengenye naye ndo mpumbavu kiasi hicho? Nilimsikia anawaomba waumini pale Moro kwamba wamwombee maana anaenda kwenye mji wenye vurugu nyingi hivyo akawa anawaomba wazidi sana kumwombea ili Mungu ampe nguvu ya kufanya kazi kwa uadilifu. Sasa nashangaa kwa haya aliyokuja nayo! Mji utamshinda huyu!! Na kama ikiwezekana Wana AR hebu mwondoeni huyu kwenye uso wa dunia na wala hakuna atakayehuzunika! Huu sasa ni uchuro tena ni upumbavu ambao hakuna anayeweza kuuvumilia mwonesheni kazi huyo ZOBA!!

ARUSHA msikubali kuwa na Meya wa CCM kama noma na iwe noma piganieni haki yenu wana-AR. Mkwere uliiba kura za Urais, Ubunge na Udiwani na kwenye Umeya nako unataka kuchakachua? Sasa mmezoea, WaTZ hebu tusikubali ujinga huu wa CCM, ikiwezekana tumwage damu wananchi maana kumbe bila hivyo haki yetu itaendelea kudhurumiwa hivi hivi tunaona!
 
yaani hapa nilipo nimechoka nafikiria kipi cha kuwafanyia hawa ccm ili moyo wangu upone..

Hapa ndugu yangu ni kuamua kwenda kujitoa Muhanga tu kwa ajili ya wengine na utakumbukwa! Huu sasa ni ujinga ambao hatupaswi kuufumbia macho. Mkwere mpumbavu huyu nchi imemshinda, maana tunajiendea tu kama hatuna Rais! By the way Rais mwenyewe ni wa NEC hivyo wananchi tuchukue hatua ya kuwatia adabu hawa CCM!
 
tukutane wapi kaka/dada ili tupange zaidi?
 
Aiseee Kumbe Andengenye naye ndo mpumbavu kiasi hicho? Nilimsikia anawaomba waumini pale Moro kwamba wamwombee maana anaenda kwenye mji wenye vurugu nyingi hivyo akawa anawaomba wazidi sana kumwombea ili Mungu ampe nguvu ya kufanya kazi kwa uadilifu. Sasa nashangaa kwa haya aliyokuja nayo! Mji utamshinda huyu!! Na kama ikiwezekana Wana AR hebu mwondoeni huyu kwenye uso wa dunia na wala hakuna atakayehuzunika! Huu sasa ni uchuro tena ni upumbavu ambao hakuna anayeweza kuuvumilia mwonesheni kazi huyo ZOBA!!

ARUSHA msikubali kuwa na Meya wa CCM kama noma na iwe noma piganieni haki yenu wana-AR. Mkwere uliiba kura za Urais, Ubunge na Udiwani na kwenye Umeya nako unataka kuchakachua? Sasa mmezoea, WaTZ hebu tusikubali ujinga huu wa CCM, ikiwezekana tumwage damu wananchi maana kumbe bila hivyo haki yetu itaendelea kudhurumiwa hivi hivi tunaona!

Aisee, unasema kweli chalii yangu?
 
Kuzungumza na kuchochea umwagikaji wa damu na uvunjifu wa amani ni jambo rahisi ww ukiwa mbali na tukio ila likitokea karibu ww huwa wa mwanzo kusepa
 
Kuzungumza na kuchochea umwagikaji wa damu na uvunjifu wa amani ni jambo rahisi ww ukiwa mbali na tukio ila likitokea karibu ww huwa wa mwanzo kusepa

Si ndo maana namuuliza huyu chalii yuko wapi tukutane. Hasa wale walio nje ya nchi ni noma kwa kuchochea ile mbaya jamaa yangu.
 
Haya mambo ya wanasiasa kutembea na silaha yametokea wapi? Watu kama hawajajifunza ya Ditopile, tutegemee wanasiasa wengine kupata matatizo kama hayo huko mbeleni.

Wanasiasa wana haki ya kujilinda iwapo Dola haipo tayari kuwawekea ulinzi. Kwa hali ya Arusha ilivyo ni muhimu sana kwa Mbunge wa Arusha kuwa na silaha ili kujilinda. Wanasiasa ni watu, wakipigwa wanaumia, wanatoka damu pia!
 
Chalii wangu zitto, si ungeendelea kutumia ile ID ingine tu jamaa yangu. Sisi wengine tulishaanza kufurahia, kumbe unatokea tena, sasa ona kitakachotokea watu watakapoona jina lako hapa.
 
Nashindwa kushangaa haya mambo yanayoendelea katika nchi hii ,hizi siasa za maji taka hakika mwisho wake 2015.hii crop ya akina EL they wont be there beyond 2015 pamoja na kwamba wanapanga mipango ya 2015.Tutaomba mungu aingilie kati kuliokoa taifa lake.
 
Wanasiasa wana haki ya kujilinda iwapo Dola haipo tayari kuwawekea ulinzi. Kwa hali ya Arusha ilivyo ni muhimu sana kwa Mbunge wa Arusha kuwa na silaha ili kujilinda. Wanasiasa ni watu, wakipigwa wanaumia, wanatoka damu pia!

Zito

Karibu kaka, tupe habari kutoka Malasyia. Swali doga tu kiduchu ... Hivi Tanzania imekuwa ni nchi ya kisultani?

Sio kama usultani wa wingereza kwa sababu utaona nyie viongozi mkishachaguliwa mnajiona kama miungu watu vile wakati mnaendelea kuwakamua walipa kodi hata kile kidogo walichonacho? Nauliza hilo kwa sababu utetezi wako wa mitambo ya Dowans unafahamika, na Pinda naye anatetea - Iweje basi mkataba uliosainiwa kitapeli usimame kwenye mahakama ya haki? Hivi tusipowalipa Dowans (ambao ni RA, EL na kundi lao) watatufanya nini sisi walipa kodi wa Tanzania?

Labda nyie viongozi ambao mnatishwa kila uchwao kwamba watawatoa roho nk lakini Je, wewe wakati ule walipokufuata Kenya pamoja na vitisho vyao (huenda umebadilika kimtizamo) bado una hamu na shauku ya kuwapigania walipa kodi?
 
Back
Top Bottom