Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

Naomba mwenye Data anijuze where is Tundu Lissu na Mwenzake Mabere..... I think this situation calls for wanasheria... au je wapo Arusha tayari??????
 
Mambo yanazidi kuwa Magumu...

Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo, inasema Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini ameachiwa huru, na kisha akaanguka na kuzirai mbele ya Ofisi ya mkuu wa Wilaya Arusha.
Ujumbe unasema amekimbizwa katika hospitali ya mkoa ya Mount -Meru akiwa taaban..

Kazi ya Thobias Andengenye aliyemrithi Basilio Matei inadhihirika sasa!
 
Naomba mwenye Data anijuze where is Tundu Lissu na Mwenzake Mabere..... I think this situation calls for wanasheria... au je wapo Arusha tayari??????

Mjomba kama ni kuja hawawezi kuja kama Fire-Brigade Operation!...watakuja kwa taratibu za kesi itakapoanza...wakija sasa hivi watakakumbana na rungu za Thobias Andengenye!
 
lema amekimbizwa hospitali ya mount meru!ashakumu si matusi chama cha mijinga na mipumbavu ccm kimevimbiwa kimeshuta sasa ni mishuzi tuu shame on you mishuzi ccm!
 
Wataalamu wa CHAGUZI MWAGENI ELIMU HAPA.

Hivi Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha ambaye ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga anaruhusiwa kisheria kuingia kwenye kikao cha baraza la madiwani wa Manispaa ya Arusha na kushiriki upigaji wa kura ya kumchagua Meya wa Manispaa ya Arusha? ELIMU inahitaji hapa kwa wanaoelewa.
 
Ni upumbavu gani huu unafanywa na CCM?
nI SHERIA GANI INAYOwaruhusu kufanya uchaguzi muda ambao haukubaliki kama huo(saa 10usiku?)
Nampa pole sana Lema, japokuwa hujaeleza alipigiwa nini..je alitukana au kuanza kumpiga mtu?
LETE DETAILS ZA KUTOSHA BRODA!

mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
 
Hapo bila ya MAHAKAMA, hakuna jema lolote litakalotendeka...Hivi wanataka kuona nini watu wa Arusha hii?...Damu imwagike?...Any gold-fingered dog standing by this dirty game will pay for this...
A time bomb is counting down!
 
Naomba Watz, tukatae ukoloni huu. Naomba Wananchi tuifanye hii serikali ikumbuke umuhimu wa utawala bora na haki za binadamu. Kukaa kimya ni kuridhia utawala juu kuendeleza uvunjaji wa sheria huku iukiwahadaa watz na wimbo wa kulinda amani na utulivu. Huku ikiwa kinara wa uharamia huu, inawanyoshea vidole wapinzani eti watasababisha unvunjifu wa amani.

SASA WATANZANIA TUMECHOKA NA UVUMILIVU WETU UMEFIKA KIKOMO. JK ASHINIKIZWE KUJIUZURU NA UCHAGUZI UFANYIKE UPYA MAANA NI DHAHIRI NCHI IMEMSHINDA. HATUHITAJI KUSUBIRI HADI TUKOSE VIONGOZI WENYE NIA SAFI AMA KUONA WIMBI KUBWA LA WAKIMBIZI WA KISIASA KUTOKA TANZANIA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Huo Uchaguzi wa Meya Jiji la Arusha BATILI.

Kwanza tupate majibu hawa madiwani wa CCM ni wangapi?

Huyu mbunge wa viti maalumu toka Tanga ni kweli aliingia kwenye kikao?

Je,alipiga kura kama diwani au kama Mbunge wa viti maalumu toka Tanga?

CCM hawawezi kujichagua wenyewe bila ya Madiwani wa CHADEMA kuwepo!!!!!

I warn you CCM guys, mnachokitafuta mtakipata very soon! Kwa hali inavoonekana sasa Watanzania hatuwezi kuwa wavumilivu kwa upumbavu wanaoufanya CCM. Lazima tufike mahali tuseme NO,and a big NO again and again.

Kama CCM MMEPORA URAIS NA UBUNGE KWANINI BADO MNALAZIMISHA TENA KUPORA NA UMEYA???
Mnachotaka ni nini hasa?????????????????????????????????????????????????
 
Naomba mwenye Data anijuze where is Tundu Lissu na Mwenzake Mabere..... I think this situation calls for wanasheria... au je wapo Arusha tayari??????

wapo safarini rafiki kwa taarifa za karibu,japo wametafutwa wanasheria wengine.
 
mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????
 
Mafisadi wamejiimarisha sana Arusha, na sasa hivi walikuwa kwenye mipango ya kugawana harakaharaka viwanja vilivyokuwa mashamba ya kahawa ya wazungu, vilivyopo ENEO LA BURKA, ambapo ni umbaliwa wa kama km5 tu toka MJINI...wakubwa wa Dar na mikoa mingine wamekuja kugawiwa viwanja hivyo wakati wakazi tumeliwa hadi hela ya upimaji!...
Kunakitu kikubwa kinatakiwa kufanywa Arusha ili AMANI IREJEE!
 
I hate you J.K toka uvunguni mwa moyo wangu kabisa, nakichukia sana pia chama cha mapinduzi na mapandikizi yake yote, laana na adhabu kali ya MUNGU na iwe juu yenu daima na vizazi vyetu vyote.
 
Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????
mJOMBA, labda hujawahi kuwekewa bangi mfukoni na ukasingiziwa ni mtumizi...
Kuwa na bastola si jambo la hatari kwa raia yeyote anaehitaji na anaye'qualify kumiliki.
Huenda wamemkuta nayo wakati wanampiga ngwala, na kisha wanampa kesi hiyo kuwa ametishia kuua!
 
JK ana VISASI SANA naona majeruhi wa siasa wanaanza kujitokeza sasa hii HATARI kubwa sana hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom