hakutia saini, akome
mama'ko katia saini?
mama'ko katia saini?
Ribosome tutakulipoti abuse na lugha zako zisizo na star!
Bila shaka huyo mama kamanda wetu atakuwa ameibiwa na mwanachama wa magwanda kwani wezi wengi mjini ni washabiki wa magwanda.
POLE SANA MAMA KAMANDA WETU KWANI MUNGU ATAWAHAIBISHA WOTE MAGWANDA KWA WIZI WAO.
Usiku wa saa nane mwanamke uko nje? Hivi ameolewa au ameachika au mjane? Kweli siasa kwa wanawake wengine ni kitendawili?