Mbunge viti maalum aibiwa baa!

Mbunge viti maalum aibiwa baa!

:biggrin: huyu mbunge kanichekesha eti alikua anakutana na wanafunzi wa chuo bar..jamani wanafunzi wa chuo na walikua wanaongea maswala muhimu kwanini wakutanie bar na sio restaurant or hotel??!!

Alafu sielewi hii kitu ya viongozi kutembea na hela za kigeni(dollars) kwanini? kwani huko bar wanachukua dollar? kila sehemu ukienda hapa tanzania wanachukua hela zetu za kibongo sa kutembea na dollars ni fashion au ushamba??

Kuna yule naibu waziri mmoja nae aliibiwa guest hse sijui ni hotel ile eti alikua sijui na dollar 3000 alafu alikua morogoro, huko morogoro ndio wanapokea dollars sio..siku hizi morogoro imekua New York nini? na sio hilo tuu eti alikua na laptop 3. Jamani sikatai mtu kutembea na laptop hasa kama ni shuhuli za kibiashara au kiofisi but laptop 3?? $3000?? hili ndio tatizo la kujua hela ukubwani....maana kwa mimi huu ni ushamba na ulimbukeni wa hela but again its just my opinion...am entitled to one!!😱hwell:
 
Bila shaka huyo mama kamanda wetu atakuwa ameibiwa na mwanachama wa magwanda kwani wezi wengi mjini ni washabiki wa magwanda.
POLE SANA MAMA KAMANDA WETU KWANI MUNGU ATAWAHAIBISHA WOTE MAGWANDA KWA WIZI WAO.

Wewe una hakika na usemalo? au tu nawe umefurahi kuandika humu ndani! nakushauri toka humu kwani humu si saizi yako kwenda kwenye media zingine k.m vile magazeti ya udaku ,uhuru,

Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Watanzania hawana hata 10,000 ya kununua nyanya na dagaa ya siku moja yeye ana 1.2 milioni za kwenda nazo baa. Halafu mbunge mwenyewe wa viti maalum, duh, laana ya kuwasaliti watanzania itawamaliza Magamba taratibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, but surely
 
huo ni uwendawazimu kufurahia wizi alafu ww ungekuwa kwenye chama chetu ccm tungekuwa tumeshakufukuza kwa wizi kama tulivyomtimua millya kwa wizi wa mil.2 na kusingizia eti kahama kwa hiari. .
 
Mkuu unabishana na mwendawazimu.
Kajiunga leo angalia post zake
Wewe una hakika na usemalo? au tu nawe umefurahi kuandika humu ndani! nakushauri toka humu kwani humu si saizi yako kwenda kwenye media zingine k.m vile magazeti ya udaku ,uhuru,

Welldone jambazi!. endelea kurudisha kodi zako zilizoliwa na magamba. Mtoto wa kike- Baa saa nane usiku!, Kadi za benki TATU!, alafu Hakutia saini.

Teh teh nimeipenda hiii!!
Af amesema eti alikuwa anaongea na wasichana katavi!, usiku alikuwa anawaambia nini? Kama sio anajishow nakuwahadithia jnsi alivyokula kodi! Zetu!
sasa mwenzetu kaanza kurudsha kodi zake !! Well done ka' jambazi
 
Alikuwa anazungumza na wanafuzi wa vyuo vikuu bar mkuu
Usiku wa saa nane mwanamke uko nje? Hivi ameolewa au ameachika au mjane? Kweli siasa kwa wanawake wengine ni kitendawili?
 
Hili Bunge livunjwe tu. Hizi aibu sasa basi jamani. Na kwa vile ccm haina maadili basi hii mijitu ikifumaniwa au vyovyote haiwezi kuwajibika. Hikl ni taifa la namna gani?
 
Bila shaka huyo mama kamanda wetu atakuwa ameibiwa na mwanachama wa magwanda kwani wezi wengi mjini ni washabiki wa magwanda.
POLE SANA MAMA KAMANDA WETU KWANI MUNGU ATAWAHAIBISHA WOTE MAGWANDA KWA WIZI WAO.
Weeeeeee!!!! Shika adabu yako pepe tena ukome kuhusisha chadema nawizi.... Wizi unaofanywa na serikali yako na kutetewa na baba mwanaasha mbona huusemi?????
 
Hivi hawa wabunge wa CCM hizi Dolla wanatembea nazo zanini, majuzi Malima kaibiwa madola pia, au kuna kitu wengine hatukijui hapa.
 
huo ni uwendawazimu kufurahia wizi alafu ww ungekuwa kwenye chama chetu ccm tungekuwa tumeshakufukuza kwa wizi kama tulivyomtimua millya kwa wizi wa mil.2 na kusingizia eti kahama kwa hiari. .
Mnapenda kuonea dagaa mbona hao makambale mmeshindwa kuwafukuza!!????? Milya kachoka ujambazi wenu ndo maana kawakimbia, haooooo!!!!
 
Wenzenu akina Lusinde na Nchemba walitumia matusi wakaturahisishia ushindi.
Na nyie endeleeni hivyo hivyo nchi ipate ukombozi

"mama'ko" ndio tusi? huna hata haya wala hujuwi vibaya.

YULE ANAEMWAMBIA MWENZAKE KAIBIWA KWA KUWA HAJATIA SAINI, AJUWE YULE NI MAMA WA WENGINE, NAMUULIZA YEYE MAMAKE KATIA SAINI?
 
Weeeeeee!!!! Shika adabu yako pepe tena ukome kuhusisha chadema nawizi.... Wizi unaofanywa na serikali yako na kutetewa na baba mwanaasha mbona huusemi?????

Lema hajambo?
 
Huyo jambazi mshamba sana! Alitakiwa awe na form ya kusaka saini za wabunge za kutokuwa na imani na PM. Kwa kutumia hiyo bastola yake angepata sahihi nyingi tu za magamba maana hao bila kutishiwa hawasaini maana wameridhishwa na ufisadi.
 
Back
Top Bottom