Mbunge viti maalum aibiwa baa!

Usiku wa saa nane mwanamke uko nje? Hivi ameolewa au ameachika au mjane? Kweli siasa kwa wanawake wengine ni kitendawili?
 
Huyu kaka Jambazi angetenda haki kama angemtanguliza huyu Mbunge mnafiki na msaliti wa Watanzania mbele za haki.
 
Duh! walikuwa watu wanne. Wanaume wawili na wanawake wawili, tena saa kama saa nane hivi wakisubiri baa ifungwe kila mtu aondoke na wakwake. Badala ya kutia sahihi anakesha baa.
 
Dola siku hizi hutumika sana TZ.KILA KIONGOZI akikutikana na ishu, lazima aseme amepoteza dola!
Ikoje hii?
 
mama'ko katia saini?

taratibu dada, hapa inazungumziwa wabunge na sio kila mtu... kwani hao majambazi wamepora mbunge pekee?? you should understand that people have no remose to politicians who are greed,

at one point you have to get the message
 
Du aisee malima alikua na usd4000 na 1.5m Tsh na Huyu ana USD600 na 180k du sisiemu inatutafuna sana yani pocket money za kuendea bar ni kama 1.2m hivi?
 
Bila shaka huyo mama kamanda wetu atakuwa ameibiwa na mwanachama wa magwanda kwani wezi wengi mjini ni washabiki wa magwanda.
POLE SANA MAMA KAMANDA WETU KWANI MUNGU ATAWAHAIBISHA WOTE MAGWANDA KWA WIZI WAO.
 
Hawa wabunge kwanini wanazipenda hizi dola halafu mnaforce wananchi watumie tsh sioni kama uchumi utapanda kwa hii tabia mbovu kupenda kutumia hizi dollar
 
Welldone jambazi!. endelea kurudisha kodi zako zilizoliwa na magamba. Mtoto wa kike- Baa saa nane usiku!, Kadi za benki TATU!, alafu Hakutia saini.
 
Duh! ama kweli, wabunge wa CCM badala ya kuishughulikia serikali wao wanafanya starehe mwanzo mwisho!
Mwanamke tena kiongozi unakunywa bar mpaka usiku wa manane kama changudoa
Alitakiwa avuliwe ubunge basi tu maadili ya viongozi yameuawa na kuzikwa na viongozi wenyewe..
 
wewe kaka Jambazi ulijuaje wabunge kuwa wana ma-ATM mkoba? alafu ya dola,unajua otea wewe, chezea asiyetia sahii maana sio mzalendo.
 
Kaka Jambazi amesababisha ninywe pombe zangu nyumbani na watoto
 
Bila shaka huyo mama kamanda wetu atakuwa ameibiwa na mwanachama wa magwanda kwani wezi wengi mjini ni washabiki wa magwanda.
POLE SANA MAMA KAMANDA WETU KWANI MUNGU ATAWAHAIBISHA WOTE MAGWANDA KWA WIZI WAO.

ni sheria tu zinanizua ningekutolea tusi chafu sana ila tu uelewe nimekutukana!!ningegeuka kibajaj fasta!
 
Usiku wa saa nane mwanamke uko nje? Hivi ameolewa au ameachika au mjane? Kweli siasa kwa wanawake wengine ni kitendawili?

Umeona eeh!! halafu alivyokuwa muongo ansema alikuwa na rafiki yake wa kike na kadanganya muda, hapa kama ni mkeo huyu shituka haraka, watu wana haribu....
 
Back
Top Bottom