Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,565
Mtumieni hii kiss yangu
Tangu nimuone demu Wa Gwajima alivyolala kama maiti iko mochwari Sina hamu na wanawake wazuri tena
Nimkeo?Muacheni mke wangu
Enzi zile na yule mpemba anayeitwa AbduHujui kuwa Upendo aliwahi kushiriki mashindano ya Maisha Plus miaka ya 2010?(kama sikosei)
Alikuwa na upara fulani hivi....Enzi zile na yule mpemba anayeitwa Abdu
Yap! Alikuwa anajiita Rick Rose, na mshikaji wake yule wa A town aliyesokota nywele.Alikuwa na upara fulani hivi....
Ana miguu milaini
Mke wa David Kafulila ni Jesca Kishoa sio Upendo PenezaMkuu naona ipo shida eee!, huyo ni mke Wa David Kafulila - RAS Wa mkoa Wa Songwe kwa sasa.
Tangu nimuone demu Wa Gwajima alivyolala kama maiti iko mochwari Sina hamu na wanawake wazuri tena
Wa kawaida tuu huyo....,Hakika mheshimiwa kaumbika
No hakushinda Upendo...alishinda jamaa mmoja hivi kutoka PembaKumbe alishinda....
Mimi nilifuatilia sana ya miaka ya 2008-2009.
Wa kawaida tuu huyo....,
Ilikua seson1Hujui kuwa Upendo aliwahi kushiriki mashindano ya Maisha Plus miaka ya 2010?(kama sikosei)
Labda awe mke wa pili mke wa Kafulila ana itwa Jesca KishoaMkuu naona ipo shida eee!, huyo ni mke Wa David Kafulila - RAS Wa mkoa Wa Songwe kwa sasa.
Nahamia Chadema kuunga juhudi kwa ajili yake.Namkumbuka season one ya Maisha plus