Mbunge Upendo Pendeza: Dady's girl

Mbunge Upendo Pendeza: Dady's girl

Kwa hilo sijui kwasababu siangaliagi EATV, wanaojua watakufahamisha

Hayo matokeo sikuyajua aisee, maana mimi toka kipindi hicho nilijua ameshinda yeye.

Maana alikuwa na wafuasi wengi sana, mimi nilikuwa namwelewa mpaka sikosi kuangalia kipindi.
 
Hayo matokeo sikuyajua aisee, maana mimi toka kipindi hicho nilijua ameshinda yeye.

Maana alikuwa na wafuasi wengi sana, mimi nilikuwa namwelewa mpaka sikosi kuangalia kipindi.

Labda utakua hukuangalia fainali, hata hivyo wafatiliaji wengi tulijua Upendo atashinda lakini haikua hivyo
 
Huwa nikimuona Upendo namkumbuka marehemuRegia Mtema.. Alimwona kupitia Maisha plus na akamlea mpaka lro ni Mbunge tena mbunge mwenye hoja jadilifu.

Hapo ndio ulikuwa mwanzo wa Regia kumsaka Upendo. Regia aliona mbali sana.

Alale mahali pema peponi kwa wema huu aliotufanyia watanzania
 
Kuna siku nilikua nae hotel pale Dom,yupo vizuri sana(mcheshi,muongeaji,habagui mtu)
Alisema anataka kuolewa na Masai kwasababu wamasai wana double so atainjoi,tukawa tunacheka tuu(nadhani ilikuwa ni utani tuu)
 
Hayo matokeo sikuyajua aisee, maana mimi toka kipindi hicho nilijua ameshinda yeye.

Maana alikuwa na wafuasi wengi sana, mimi nilikuwa namwelewa mpaka sikosi kuangalia kipindi.
Hakushinda na alipata kashfa ya kumuita Abdul mchawi ndio ile kashfa ikamtoa kwenye reli na Abdul kupata hurima ya wapiga kura na kuibuka mshindi, upendo alilia sana na kuomba radhi
 
Hakushinda na alipata kashfa ya kumuita Abdul mchawi ndio ile kashfa ikamtoa kwenye reli na Abdul kupata hurima ya wapiga kura na kuibuka mshindi, upendo alilia sana na kuomba radhi

Asante kwa taarifa, mimi mara zote nilikuwa najua alishinda. Maana nilikuwa sioni wa kumtoa.

Yaani hapa ndiyo napata taarifa mpya.
 
Back
Top Bottom