MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
pole sana Sugu tuko pamoja.
lowasa naye kapata ajali source... Moshi fm.
I wish liwasa angekufa na hiyo ajali.
karibu arachuga, jiji la mabomu yatokanayo na uzandiki wa serikali. hawa jamaa ni wapuuzi sana yaani wanapiga mabomu mpaka hospitali!
Mbunge Joseph Mbilinyi Amepata ajali akiwa njiani kwenda Arusha.
More details to follow
Naomi ya kijinga kila Kitu Kibaya CCM. Gari muendeshe wenyewe lawama CCM, utoto huo kueni.
Vipi hali yake amepata madhara.
Ah hiu ripoti haijachangamka kabisa. Mu nlijua ndio HALELUYAH TUTAONANA MBUNGUNI KWA BABA!!!! mmezoea kumwaga damu za wananchi, naona sasa damu zenu nazo xinahitajika
ingekuwa baada ya Mangwea,Langa hatimae Sugu r.i.p brodaaasWanafiki walishajiandaa kwa RIP....
ingekuwa baada ya Mangwea,Langa hatimae Sugu r.i.p brodaaas
Namba ya Sugu : 0716627344 ipo hewani kama kawaida. Acheni Unafiki.