Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Huyo lazima alikuwa anasikiliza Clouds FM ndo maana kapata ajali. Clouds wamemsababishia ajali.
 
pole kamanda, mapambano yanaendelea.!!
 
Uso kwa uso na asidhurike?
Mkuu,
Ndio maana ya kuahbarishana. Kama una habari tofauti na hizi unaruhusiwa kuziweka. Sioni ajabu ya magari kugongana uso kwa uso na mtu asidhurike. Zipo sababu nyingi zinazoweza kufanya hilo liwe. Tafakari, usikurupuke!
 
Lissu gari yake imevunjwa kioo. Nassari kavunjwa pua. Sugu kapata ajali. Who is next on the list? Mungu walinde watu wako.
 
ccm wanatumia mbinu batili 'kuua chadema'. kufa ni mpango wa mungu.
 
Semeni ni njama ya ccm, hawa wabunge wengine bora wapewe bajaji tu,hizi cruiser zitawamaliza
 
Ni heri kama yuko salama, gari tutanunua jingine-Mungu tuokoe na huyu ibilisi ccm.
 
Mkuu,
Ndio maana ya kuahbarishana. Kama una habari tofauti na hizi unaruhusiwa kuziweka. Sioni ajabu ya magari kugongana uso kwa uso na mtu asidhurike. Zipo sababu nyingi zinazoweza kufanya hilo liwe. Tafakari, usikurupuke!

Pole Mkeshaji kama nimekukwaza. Ila huwa magari yakigongana uso kwa uso, kati ya basi na gari za binafsi kama ambalo huenda atakuwa amepakia Mh. Sugu, mara nyingi kutoka salama kabisa ni ngumu. Mimi sina taarifa zozote, nilichokuwa nataka ni maelezo ya kina ili tusije tukapotoshana. Juzi tulikuwa tunasoma habari za Nassari, kuna mtu alihoji habari zilizotumwa, kumbe kweli Nassari ameumizwa na amepelekwa hospitalini. Ni kutaka kujua zaidi tu
 
Semeni ni njama ya ccm, hawa wabunge wengine bora wapewe bajaji tu,hizi cruiser zitawamaliza

Hawa ma -GTs wa JF ni vichekesho!. Sasa hii ndo comment gani, kwa mtu mzima kama wewe!
 
Pole Mkeshaji kama nimekukwaza. Ila huwa magari yakigongana uso kwa uso, kati ya basi na gari za binafsi kama ambalo huenda atakuwa amepakia Mh. Sugu, mara nyingi kutoka salama kabisa ni ngumu. Mimi sina taarifa zozote, nilichokuwa nataka ni maelezo ya kina ili tusije tukapotoshana. Juzi tulikuwa tunasoma habari za Nassari, kuna mtu alihoji habari zilizotumwa, kumbe kweli Nassari ameumizwa na amepelekwa hospitalini. Ni kutaka kujua zaidi tu
Roger that!
 
pole sana SUGU

Cha kumshukuru Allah ni kwamba, mh. hajadhurika.. gfsonwin please naomba unijibu pm yangu. Nashinda online kusubiri kupata taarifa kutoka kwako. WITH MUCH THANX IN ADVANCE
 
Askari tumieni kile kipimo cha ulevi.. sugu hues anashinda sana bar
 
Back
Top Bottom