Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

Ah hiu ripoti haijachangamka kabisa. Mu nlijua ndio HALELUYAH TUTAONANA MBUNGUNI KWA BABA!!!! mmezoea kumwaga damu za wananchi, naona sasa damu zenu nazo xinahitajika
 
acheni porojo. "sugu kapata ajali mbaya" lakini hakudhurika. ujinga huu
Wanabodi,

Nimepata taarifa kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)
amepata ajali mbaya ya barabarani wilayani Hanang' baada ya gari lake
kugongana uso kwa uso na basi la abiria.

Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita wakati Mh. Sugu akielekea
Arusha.

Taarifa zinadai Mh. mbunge hajadhurika!

Tuendelee kufuatilia zaidi; na kama kuna mwenye taarifa zaidi na
atujuze.

Wasalaam!
 
Ah hiu ripoti haijachangamka kabisa. Mu nlijua ndio HALELUYAH TUTAONANA MBUNGUNI KWA BABA!!!! mmezoea kumwaga damu za wananchi, naona sasa damu zenu nazo xinahitajika

Muda si mrefu tutakuimbia nyimbo za huzuni ukiwa ndani ya box,na ukifika uendako utakumbushwa kosa lako ni kuingilia kazi ya MUNGU,naumia sana ninapoona dunia hii ikiwa na watu katili kama wewe,hustahili kuitwa mwanaadam,wewe ni mwana shetwani
 
Pole Mkeshaji kama nimekukwaza. Ila huwa magari yakigongana uso kwa uso, kati ya basi na gari za binafsi kama ambalo huenda atakuwa amepakia Mh. Sugu, mara nyingi kutoka salama kabisa ni ngumu. Mimi sina taarifa zozote, nilichokuwa nataka ni maelezo ya kina ili tusije tukapotoshana. Juzi tulikuwa tunasoma habari za Nassari, kuna mtu alihoji habari zilizotumwa, kumbe kweli Nassari ameumizwa na amepelekwa hospitalini. Ni kutaka kujua zaidi tu

Wewe ni imani gani...ushawahi kusikia kuhusu muujiza...sasa usiseme haiwezekani...Mungu ndo hutenda na kuamua na si kwa fikra zenu binadamu..mimi nna ndugu yangu gari ilipinduka zaid ya mara tatu baada ya tairi kuchomoka...likaharibika vibaya mnoo..na halifai mpaka leo...lkn Mungu wa ajabu alitoka mzimaaa ht diclofenac hakuchoma...God is ABLE only if ukimtegemea..so usishangae
 
Inabidi tulichunguze hili basi ni la nani. Sio bure.
 
Mungu amlinde huyu kamanda na kumtetea hasa katika kipindi hiki watu wanadhulumiwa haki zao
 
Pole SUGU mungu akuponye akupe subira na moyo wa kutumikia wananchi.
 
Nimesikiwa kuwa Mbunge wa Mbeya mjini-Chadema, Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika eneo la kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini.
Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu alikuwa akielekea Arusha mjini kuungana na wabunge wengine ktk shughuli ya kuaga marehemu waliolipukiwa na bomu kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika ajali hiyo hakuna mtu yoyote amejeruhiwa, Mbunge huyo yuko salama, gari la Sugu limeharibiwa vibaya baada ya kugongana na basi la abiria. Mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali.
 
Poleni wahanga wa hiyo ajali, nakumbuka maneno ya Sugu, kwenye show ya Jide alivyomchana Kevin Twisa, pole sana kamanda Suguu
 
Back
Top Bottom