M Mponjori JF-Expert Member Feb 21, 2011 2,205 549 Jun 19, 2013 #121 Ritz said: Vipi hali yake amepata madhara. Click to expand... ninachokupendea unauma na kupuliza.
Wild fauna JF-Expert Member Apr 22, 2012 461 189 Jun 19, 2013 #122 Sugu gari yake ilipata puncher na sio hayo mnayosema
Mzee Mitomingi Member Jun 17, 2013 41 3 Jun 19, 2013 #123 msemaji wake mkoloni hajafanywa press conferece bado?
L longinos JF-Expert Member May 14, 2013 446 74 Jun 19, 2013 #124 majebere said: haya ndio madhara ya kuonea gari ukubwani. Click to expand... ni vizuri kumeza dawa za kichwa kabla hujaongea
majebere said: haya ndio madhara ya kuonea gari ukubwani. Click to expand... ni vizuri kumeza dawa za kichwa kabla hujaongea
L longinos JF-Expert Member May 14, 2013 446 74 Jun 19, 2013 #125 Mponjori said: ninachokupendea unauma na kupuliza. Click to expand... huyu ritz tunamsubiri 2016 nitamkamata kwa mikono yangu mwenyewe time inakaribia sana
Mponjori said: ninachokupendea unauma na kupuliza. Click to expand... huyu ritz tunamsubiri 2016 nitamkamata kwa mikono yangu mwenyewe time inakaribia sana