Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

Mungu awape nafuu majeruhi wote na ailaze roho ya marehema mama mpendwa mahali pema peponi Ameen!!!
 
Mbunge wa Rombo bw. Joseph Selasini kupita CHADEMA amepata ajali mbaya huko moshi akiwa anaendesha gari lake la kibunge na ndani yake kulikuwa na abilia sita akiwemo mama na shangazi yake, inasemekana watu watatu wapo mahututi na wamekimbiza KCMC

Source:Redio one and ITV
 
Duuu!!! Mchana furaha kwa Mnyika, Jioni huzuni kwa Selasini!!!! God Why?????
Tunamuombea kwa Mungu apole haraka ili aendelee na kazi ya uwakilishi wa wananchi wa Rombo!!!! God will rescue him!!!!
 
Nimezisikia habari hizi kupitia Radio one. Inasikitisha sana. Mungu amjaalie kamanda selasini.
 
Pole sana Kamanda Mungu akuponye akupe nguvu kindi hichi kigumu chakuondokewa na Mama mzazi na wewe ukiwa katika maumivu makali.
R.I.P Mama mzaa kamanda
 
...lakini hivi kwanini mnapenda kuzurura bana..hivi hamna ipad muwe mnakaa mnasoma vitu na kuplot stratergies za kutatua matatizo ya wananchi ...

Binadamu tunatofautiana. Umeshaambiwa hiyo ajali hakuwa peke yake, na mama yake ni mmojawapo wa watu waliopatwa na ajali na amefariki dunia. Kwa akili yako (Kigogo) imekupelekea kuona ya kuwa Mh., Mama yake na watu wengine waliokuwa naye wametoka Arusha kuzurura?
 
Duh!, So sad. Get well soon and may God rest the souls of the deceased in eternal peace!.

Kuna mtu mmoja alikuwa akitafuta leseni katika nchi fulani iliyoendelea, ali-fail mara tano practical driving test kwa kuwa kuna vitu kama speeding and observations alikuwa akikosea. Mara ya sita alipatiwa leseni na kushariwa akaambiwa kuwa 'When you are driving, your safety is first then your passenger's safety then safety of other road users, but all these three have less than 1 second differences between them'.

Sijui ajali imetokea vipi wala chanzo chake ni nini whether is mechanical failure, driving error or third party mistake. Ila unapokuwa unaendesha umebeba abiria nafasi ya usalama inakuwa ni top agenda kwani you have more than one soul in your hands, ni bora uendeshe kwa 50km ph as maximum speed kuliko kukanyaga mafuta uwahi kufika. Kitendo cha watu watatu kutangazwa dead at the scene maana yake ni kwamba kulikuwa na overspeeding. Ajali kama hizi ziwe funzo pia kwa watumiaji wengine wa barabara kuwa ajali haina mwenyewe kila wakati tuwe waangalifu sana.

I HOPE SELASINI WILL FIGHT AND WIN FOR HIS LIFE!
 
atakuwa anaendelea vizuri sababu kaweza kuandika habari ya kupata ajali kwenye wall yake ya facebook mda si mlefu. kaomba makamanda wamuombee.
 
Speedy recovery kwa Kamanda Selasini,and wapumzike kwa amani wapendwa wetu waliotutangulia mbele ya haki!
 
Invisible Ahsante kwa taarifa tunawaombea wahanga wa ajali kwa Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Pole Mh Mbunge tunakuombea upone haraka. Mola atakusaidia tuko nawe kwenye sala.
 
Back
Top Bottom