Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

pole mbunge wangu ...lakini hivi kwanini mnapenda kuzurura bana..hivi hamna ipad muwe mnakaa mnasoma vitu na kuplot stratergies za kutatua matatizo ya wananchi ...aghhh

huwa sina hulka ya kujibu post ambazo sikubaliani nazo lakini in your case i'll try to move against my creed!!!

Selasini is critically injured,he lost his mother and some other people presumibly his relatives/friends and you had a brilliant(read balderdash!!!!) idea of coming out with the above sort of stinking puke...

do you really believe that an ipad is a solution for everything??? do you consider that gadget as a shield for accidents??? Personally i want to believe that you don't mean what you have written - i'll give you a benefit of doubt.

 
Pole sana Mh Selasini and may you get better soon.
Pole sana kwa mama yako and let her RIP.
 
Nadhani wametoka kwenye maziko ya Padri yaliyofanyika leo jijini Arusha. Nawaombea waliopatwa na ajali wapate nafuu mapema na wale waliofiwa nawapa pole.
 
Pole sana Mheshimiwa na wote walkiojeruhiwa.
R.I.P. mama na wafiwa tunawaombea Mungu awape nguvu na subira.
 
mungu amlinde mbunge wetu na waliotangulia kwa mungu mola awaongeze huko waliko may them RIP.
 
habri mbaya.....pona haraka selasini....poleni kwa wafiwa wengine....
 
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu.

Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini.

Watu watatu akiwemo mamake mzazi wamekufa papo hapo.

Mhe. Selasini amepekimbizwa Hospitali ya wilaya ya Hai pale Bomang'ombe; hali yake si nzuri.

Mungu amponye haraka.
 
pole mbunge wangu ...lakini hivi kwanini mnapenda kuzurura bana..hivi hamna ipad muwe mnakaa mnasoma vitu na kuplot stratergies za kutatua matatizo ya wananchi ...aghhh
Hicho ni kijembe au nini? Akishakuwa na Ipad (hongera kuwa wewe unayo), inatosha kujifungia ndani na kupanga hjizo strategies?

Kumbuka Mkuu, ajali, hasa katika barabara za Tanzania, hazichagui mtu wa chama gani, hazichagui anayeendesha au kuendeshewa gari, hazichagui gari binafsi au la umma, hazichagui mpanda baiskeli au mtembea kwa miguu. Mimi wa mwanzo kukuombea usipatwe na ajali.
 
Back
Top Bottom