Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

MUNGU pekee akarudishe nguvu kwenye familia hizi.

Kwa kweli ni msiba mzito sana kwake (MB) wa W/Rombo ila nina tumaini kubwa ya kwmb MUNGU atatenda mwujiza na atawapa nguvu maradufu!
Ni vigumu kumtoka yeyote awaye,lakini tukikaa ktk kuwa na IMANI hakika kwake yote yanawezekana!

Pole MB pole sana na hakika tutatakiana mema muda wote wa halali ngumu uliyoipata pamoja na familia yako!
 
Poleni wafiwa ni msiba mzito kwa ndugu, jamaa na marafiki
M/Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi- Amina
 
Poleni sana jamani,Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi,Amin.
 
habari kutoka rombo zinasemekana mama wa mbunge wa rombo aliyepoteza maisha kwenye ajali ilotokea boma ng'ombe atazikwa kesho....nawaahidi kuwaletea mazishi live kutoka rombo
 
habari kutoka rombo zinasemekana mama wa mbunge wa rombo aliyepoteza maisha kwenye ajali ilotokea boma ng'ombe atazikwa kesho....nawaahidi kuwaletea mazishi live kutoka rombo

Kama sitoweza kwangu kufika kwa sbb kama hiyo naomba utupe news yote yatakayojiri hapao W/Rombo kamanda!
Nami nitakuwa Ngorongoro kwa shughuli maalumu itakayoendana na bila shaka tutawasiliana jamani!

Bwana ametoa na Bwana Ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe!
Ameumba na jina lake lihimidiwe siku zote!
 
kwa hiyo habari za kuwa baba na mke wake na mbunge wamefariki tena ni kweli au uongo jamani maana digna ni alikuwa rafiki wa dada yangu na walisoma wote shule ya msing mengwe kweli inauma sana Mungu amtie nguvu mbunge wangu .
 
Back
Top Bottom