CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
All the best Bwana na Bibi harusi watarajiwa, ila msianze kuvunja amri, subirini.
Mbona ni mwaka wa nne sasa mkuu? Soma tarehe ya post # 1 27th November 2007 04:08 PM
All the best Bwana na Bibi harusi watarajiwa, ila msianze kuvunja amri, subirini.
inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua
Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia.
Naona tapeli Nyalandu ameamua kuhalarisha ndoa yake na Faraja!! Hongera sana na kwa heri kambi ya makapera.Wasi wasi wangu wataweza dumu? maana Lazaro ni kiazi sana na Faraja is a smart lady....kazi ipo!!
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?
Hongera.

Du! Jambo forum kuna mambo. i
mkuu hii post tulishaiona longtime!mm nilidhan kuna mpya!kumbe porojo
Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia.
Mkombozi, unapomchagua kiongozi wako ujue unamchagua nani. Hizi habari huenda zikawa muhimu sana siku za mbeleni iwapo jamaa atakuwa na nia ya kugombea uongozi wa juu, sasa kama hatujui katokea wapi itakuwa ni vigumu kujua atakakotupeleka. This is very sensitive, ndio maana huwa wanajaza fomu za maadili ya uongozi wa umma, ikiwemo suala la kutaja mali ambazo kiongozi anazimiliki.
Kama jamaa ni tapeli, unadhani akiupata uwaziri mkuu hali itakuwaje?