Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia.
Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia.
Mhh, kazi kwelikweli, ndio maana mi uselebriti siutaki kabisa. Kwa vibomu vilivyorushwa hapa, Mheshimiwa atakua amekunja ngudu saa hivi akisali mtarajiwa wake asiingie humu, ndoa inaweza vunjika hivihivi!! He has some explaining to do.
Vimwana wa MU wanamjua vizuri sana. Alikuwa haishi kwenda!
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?
Hongera.
Nafikiri MU alikuwa anakwenda kwa maishu ya UKWATA na mikutano ya injili sababu nilishawahi kualikwa kwenye fund raising moja ya kidini pale na yeye alikuwa amealikwa kama mgeni rasmi!
inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua

hoja tani milioni aiseeduh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?
Hongera.
Gembe/mkomboziufisadiinauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua