Mbunge Nassari alipotea njia CHADEMA

Mkuu, Labda hujanielewa, Ninachopinga ni kitendo cha wabunge baadhi, kujifanya wafadhili wa wananchi, badala ya watetezi wa wanananchi.
Mbunge legelege, mwenye udhaifu, lazima atajifanya kuwa "materialistic" ili kuwarubuni wananchi! Ila Mbunge anayejiamini hahitaji kuwarubuni wananchi kwa vitu, Ila wataona wenyewe jinsi anavyopambana!

Mussa Allan,nitatofautiana na wewe kidogo,inawezekana kuna ukweli kwenye hoja yako lakini pia kuna issues ambazo inawezekana hujazifahamu sababu umgeni kwenye UPINZANI.

Kaka yangu Majimbo mengi ya UPINZANI huwa hayapelekewi pesa za MAENDELEO na hata kama wakipelekewa kuzipata hizo pesa toka HALMASHURI ni mbinde,kumbuka wakuu wa mikoa,wilaya,Wakurugenzi wengi wanafanya kazi kama wanasiasa wakipepea BENDERA za CHAMA,ni ngumu sana kwa mbunge au diwani kwenda na kutaka yale yaliyopangwa kutekelezwa.

Kama hujafahamu refer kwenye kampeni Mama Samia Suluhu alisemaje kuhusu majimbo na kata zitakazochagua UPINZANI!YAle aliyoyasema Mama Samia Suluhu ndiyo yanayotekelezwa.Kumbuka Lwakatare amapeleka vifaa vya hospitali kwenye hospitali za jimboni kwake lakini viongozi wa hospitali zile wamekataa kupokea misaada hiyo,jiulize kwanini wakatae na Lwakatare amechaguliwa na Watanzania wa BUKOBA?

Mussa Allan,wapinzani wanapata shida sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kila siku,maana huko majimboni wanaonekana kama maadui wa TAIFA
 
Kweli naona tunaziweka pembeni tofauti za kichama na kuanza kuthamini mchango wa wabunge bila kujali wanatoka chama gani.

Wewe ni mfuasi wa Lowasa siyo maana Chadema leo Lowasa skitoka kwenda chama kingine utaondoka nae, waache Waungwana wasio na mipaka ya kivyama watoe sifa kwa kijana anafanya vizuri....
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!

By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.

Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!

Sorry Samaritan sikukusudia kukuquote ilikua ni huyu Msalani kanikera kijana anasifia yeye analeta za kuleta samahani sana
 
Hujaelewa hoja yangu. Kazi za Mbunge si kuwapa fadhili wapiga kura wake! Ila ni kuisimamia serikali yake itimize majukumu yake kwa wananchi wa eneo husika!
Uko sahihi...Sio kazi ya Mbunge kutoa Misaada

sio kazi ya Mbunge

Ingawa akifanya hakuna Ubaya

So inabidi ifikie wakati wabunge watambue kazi yao ni nini

Hii tabia ndiyo inawafanya baadhi ya wabunge waogope hata kurudi majimboni kama hawana hela

Imagine...mshahara wa Ubunge ndio utumike hivi?
 
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!

By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.

Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
wewe ni musa allan ninaye kujua!!?
 
Yaani mkuu umenikuna sawasawa. Kwa mtindo huu ccm hawataondoka madarakani. Maana wameshika dola na uchumi. Kama tuna wageuza wanasiasa kuwa wafadhili kwa vyovyote vile tunataka wenye fedha ndiyo wawe wanasiasa. Daah!
 
Usitake kuniamisha kwamba chadema ni watu wapuuzi na ccm ni watu makini wakati toka uhuru hadi Leo nchi hii inaongozwa na ccm na madudu yote yaliyopo kwenye nchi hii ccm ndyo waliyoyafanya sasa unavyotaka kuyaona mazuri ya nasari kisha kujifanya angetakiwa kuwa ccm huo ni uvivu wa kufikiri
 
Mchango wa Tindu Lissu, Godbless Lema na Marehemu Alphonce Mawazo si wakubeza hata kidogo, maana kuamsha akili zetu na kuzitambua haki zetu ni zaidi ya hizo azifanyazo Joshua Nassari.
 
Mbunge asiyejiamini katika kazi zake, atajifanya kuwa ni mfadhili badala ya mtetezi, kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali na sio kuifadhili!
...theory yako ngumu sana kueleweka; yani una maana bora mbunge aendelee kuendesha v8 ya mamilioni mangapi sijui,kazi yake ni kupiga kelele tu bungeni,kuisubiri serikali itekeleze,hata kama yeye ana uwezo wa kuchangia chochote aache tu,bora anapiga kelele za kutosha bungeni!!
 
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!

By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.

Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!

Unajulikana kuwa uko Team Lema....

Uliwahi hata kuanzisha uzi hapa JF kumlaumu Nassari kuwa hapokei simu za Lema....linda kiasi kidogo cha heshima iliyobaki kwa kupunguza utwana wako kwa Lema.
 
Yaani mkuu umenikuna sawasawa. Kwa mtindo huu ccm hawataondoka madarakani. Maana wameshika dola na uchumi. Kama tuna wageuza wanasiasa kuwa wafadhili kwa vyovyote vile tunataka wenye fedha ndiyo wawe wanasiasa. Daah!
Amekukuna???

Seriously???.....anyways, ur id says all.
 
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!

Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania

Huo ubunge angeusikia bombani tu CCM walishaamua hilo jimbo ni kati ya Mkwe wa Lowassa na mtoto wa Sarakikiya; Nassari angefikaje.

Hapo kwenye nyekundu chama cha siasa ndio kinatakiwa kuwapa uwezo na nafasi makada wake pia kinaodhani wapo tayari kuelekea kwenye next phase ya leadership kushiriki shughuli za jamii ili kujulikana zaidi na wapiga kura sasa hvi utakuta CCM inajipanga na sherehe za sikuu yao mwezi februari lakini wanaongoza hiyo michakato sio kabisa vijana wa hapo mtaani.

Ndio maana kunatofauti kubwa sana kati ya misimamo ya NAPE au Makonda; ukilinganisha na vijana wengine wanaoibukia CCM kimtazamo unategemea hawa wawili kutomun'gunya maneno wakiulizwa kuhusu misimamo ya muungano tofauti na mtu kama Mwigulu au January wakipewa swali hilo hilo wanaweza liepa unajua kwanini? Wa mwanzo wamelelewa na CCM all the way to the top wengine wameibukia ukubwani.

Sasa leo kuna mtu kama Priscus Tarimo aliyekuwa akigombea Moshi mjini ni kundi la hao kina Nape kimtazamo na yupo UVCCM tangia form one kapambana mwenyewe mpaka kufikia udiwani moshi mjini; leo Ndesamburo anavua manyanga badala ya chama makao makuu kusema yule mtoto inabidi tumpe kifua kakulia na CCM wanatokea watu kama akina David Mosha na baraka wanapewa za kwenda kuwapelekea fujo; kwa mtaji huo huyo Nassari angekuwa na nafasi gani kupitia CCM isitoshe aina maana CCM aina hao watu sema chama akina proper ascendency programmes kwa sasa.
 
Back
Top Bottom