The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Mtoto wa mama kwa kusaka kiki, kanatakiwa kapigwe makonzi karudi home!
Wewe ndiwe mpiga konzi?
Mtoto wa mama kwa kusaka kiki, kanatakiwa kapigwe makonzi karudi home!
Ndugu nini chanzo na asili ya chuki yako hii????Mtoto wa mama kwa kusaka kiki, kanatakiwa kapigwe makonzi karudi home!
Hahahah msela wako Jk sio ukuu wa wilaya tu hata hazina angemkabidhi,Nimem zoom aiseee!
Anafaa kabisa kuwa Mkuu wetu wa Wilaya kwa Ilani ya 2005-2015
Ushahidi wa video haukubaliki mahakamani sababu hata video ya Diamond aweza kuwa anaimba Manzese lakini picha za video zikaonyesha anaimba mitaa ya London. Pia ushahidi wa video hauna sahihi kuonyesha kuwa mtu hawezi fanya editingMbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiwasili Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm, kuendelea na mahojiano ya kile wanachokiita ushahidi wa Picha za Video zilizonaswa zikionesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata Mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Pesa ili kujiuzuru na kujivua Uanachama.
View attachment 601946
Muungwana
Yeye ndie aliyerekodi ni haki kubanwa na maadamu kakiri ajiandae kukutana na wataalamu wa video na mambo ya suvaillence cameras waliotulia kwenye mahojiano .Kwa ufupi anajitapa kwa kitu asochokijua kitaalamu. Amejibebesha gunia la misumariHapo kesi itamgeukia yeye.
starring Mnyeti.bongo movie!
We kwa akili zako unadhani hayajui yote hayo? Think big.Yeye ndie aliyerekodi ni haki kubanwa na maadamu kakiri ajiandae kukutana na wataalamu wa video na mambo ya suvaillence cameras waliotulia kwenye mahojiano .Kwa ufupi anajitapa kwa kitu asochokijua kitaalamu. Amejibebesha gunia la misumari
Au ilkuwa video feki?? Kuitwaitwa na TAKUKURU siyo dalili njema
Inabidi kesi igeuke ili kulinda serikali isichafuke.Hapo kesi itamgeukia yeye.
[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapo kesi itamgeukia yeye.
Yupo vizuri big up brother
Kuna mambo yananisumbua akili. Nisaidieni:Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiwasili Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm, kuendelea na mahojiano ya kile wanachokiita ushahidi wa Picha za Video zilizonaswa zikionesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata Mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Pesa ili kujiuzuru na kujivua Uanachama.
View attachment 601946
Muungwana
Bongo movie iko lumumba wako location mda wote kutoa comedy zao,mama ongea na wapumbavu au umesahaubongo movie!
Unaitaka ya nn njoo pm nikupatie,uwe na sababu ya msingiMwnye namba ya huyu MTU naomba tafadhali
Acha mawazo ya ngonoHuyo dada nyuma ya Nasari dah