Ac
heni woga ruhusuni uchunguzi huru tuwaumbue after all ushahidi tunao
Mmesikia na kushikilia uchunguzi huru kwani waliopo wameshindwa kuifanya kazi hiyo kwa uhuru? Mnataka uchunguzi huru ufanywe na nani?
Ac
heni woga ruhusuni uchunguzi huru tuwaumbue after all ushahidi tunao
kama na wewe umejitoa ufahamu. nissan na smg zote zenu mmeshikwa na kigugumizi.mngefanikiwa kumtoa roho mngekamata watu wasio na hatia mkawasingizia sasa mnaogopa kuumbukaMmesikia na kushikilia uchunguzi huru kwani waliopo wameshindwa kuifanya kazi hiyo kwa uhuru? Mnataka uchunguzi huru ufanywe na nani?
Tundu lisu alimiminiwa marisasi na vyombo vya usalama vya tanzania.kamahutaki waambie waruhusu uchunguzi huru full stop
Hivi akili yako ilipimwa na kipimo cha pombe kali nini?Mbona ni kidogo sana na haijiongezi? Kweli hivi ndivyo hata tukiwatuma nje ndivyo huwa mnajitetea?Ndio maana huwa mnarudi mkilia ni ubaguzi ,sijui chuki binafsi. Hao jamaa zenu km sauti ziliigizwa na uwepo wao kwa stail ili walilipwa hela waigize?Sanaa hizo. Lakini haitamwacha sheria itachukua mkondo wake kwa udhalilishaji wake. Labda wakae kimya bila kudai fidia ya udhalilishaji huo.
Huko nyuma ilishawahi tokea watu wakaiga kiusanii sauti ya mweheshimiwa mmoja akigawa fedha ya minofu ya samaki. Na walipeleka mahakamani kama ushahidi kuwa mwenyekiti alipewa mgao wa 500,000,000/-
Mahakama ikabaini kuwa ni maigizo. Bahati yao hakuna aliyewadai fidia maana waliwavumilia tu.
kama na wewe umejitoa ufahamu. nissan na smg zote zenu mmeshikwa na kigugumizi.mngefanikiwa kumtoa roho mngekamata watu wasio na hatia mkawasingizia sasa mnaogopa kuumbuka
Hii ni mikwara ya kipumbavuYours is an outrageous statement...Mhe Tundu Lissu amepigwa risasi na nani??? Hujui kuwa comment yako ni serious na inaweza kukuingiza matatizoni???? Kwanini hamjifunzi kwa mambo kama haya??? Kila jambo mnafanya mzaha, why???