Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,273
- 25,297
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiwasili Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm, kuendelea na mahojiano ya kile wanachokiita ushahidi wa Picha za Video zilizonaswa zikionesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata Mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Pesa ili kujiuzuru na kujivua Uanachama.
Muungwana
Muungwana