John Andrew Msigala
Member
- Apr 18, 2017
- 21
- 7
Sanaa hizo. Lakini haitamwacha sheria itachukua mkondo wake kwa udhalilishaji wake. Labda wakae kimya bila kudai fidia ya udhalilishaji huo.
Huko nyuma ilishawahi tokea watu wakaiga kiusanii sauti ya mweheshimiwa mmoja akigawa fedha ya minofu ya samaki. Na walipeleka mahakamani kama ushahidi kuwa mwenyekiti alipewa mgao wa 500,000,000/-
Mahakama ikabaini kuwa ni maigizo. Bahati yao hakuna aliyewadai fidia maana waliwavumilia tu.