Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,281
Reaction score
7,061
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
 
Ana PhD ya wapi na nini ?!

WaTz mmeharibu sifa za wasomi. Ndiyo maana wizara ya elimu, amepewa mtu mwenye elimu za hapa na pale.
 
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Huyo mwekezaji sio yeye anaewekeza ametumwa na chama... Kwa io ngoma
 
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe, kwanza iwepo, ndipo itumike!.
P.
 
Kwa taarifa tu!

Huyo Msukuma akiwa Diwani na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita Vijijini ,miaka ya 2000 alishavuliwa huo Uenyekiti kwa tuhuma ya changamoto ya Afya ya Akili,akabaki na Udiwani tu..

Nakumbuka Kikao kilisimamiwa na aliyekuwa RC wa Mwanza( then Geita ni sehemu ya Mwanza) late Abbas Kandoro
 
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Kwa kusema msukuma amesoma na ana Phd wewe ni bumunda
 
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Ok, nakukanusha tu pale unaposema musukuma kasoma na ana PhD- Musukuma hajasoma lolote ile PhD ni ya kununua, (au zawadi kama zile alizozawadiwa yule muuza rasilimali sehemu mbalimbali duniani)
 
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.

Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.

Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Una hakika kuwa Msukuma anazo akili?
 
Back
Top Bottom