Mbunge Musukuma anasumbuliwa na Inferiority Complex? Kwanini anang'ang'ania sana u la saba wake?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
An inferiority complex is the lack of self-worth, a doubt and uncertainty about oneself, and feelings of not measuring up to standards. It is often subconscious, and is thought to drive afflicted individuals to overcompensate, resulting either in spectacular achievement or extremely asocial behavior.

Screenshot_20180524-132228.png

IMG_20180525_131850.jpg

Kama kuna mtu yupo karibu na huyu jamaa naomba amshauri tu ya kuwa kupenda kutaja taja u la saba la saba wake si ishara nzuri ya ukomavu wa kisiasa. He needs to mature politically.

Haitaji kutafuta political sympathizers kwa design hiyo kwa maana ni zaidi ya mara 20 kila akiongea yeye ni kutaja kiwango chake hicho cha elimu kana kwamba kuna mtu aliwahi kumkejeli ndani ya bunge kuhusu yeye kuwa la saba.

Mbona wabunge wengi ni la saba ila wapo kimya. Lameck Airo ni la saba ila hayupo inferior kama kaka yangu musukuma.

Kwani ni nani mwenye bachelor na kuandelea aliwahi kukukejeli kaka? Wapiga kura walijua wewe ni la saba still wakakupenda na kukupa nafasi, sasa where does that inferiority come from? Kila wakati eti mimi la saba. Achana na hizo kauli kaka. Jadili hoja makini.

Mkuu, stop feeling inferior aisee. Unakiangusha sana chama kwa namna hiyo.

KIJANA KUWA MZALENDO. IPENDE TANZANIA

NB: Mimi sina chama ila nampenda sana kaka yangu musukumu. Asijishushe sana kaka
 
Hapo Sio issue ya inferiority complex bali kaona hao ma Prof na yeye wa la saba hawana tofauti kwenye posho, Safar za nje, ujengaji wa hoja n.k

Ni Sawa Na kusema pamoja Na kipato changu kidogo Watoto wangu wanasoma Shule Moja na Watoto wa Mh.Rais
 
Uyo jamaa ni threat kwa watu wanaoongea issue za msingi utoto umemjaa
 
Hata hayo anayoongea, ni matokeo ya kuwa na elimu iliyoishia darasa la saba.
 
View attachment 784988
Kama kuna mtu yupo karibu na huyu jamaa naomba amshauri tu ya kuwa kupenda kutaja taja u la saba la saba wake si ishara nzuri ya ukomavu wa kisiasa. He needs to mature politically.

Haitaji kutafuta political sympathizers kwa design hiyo kwa maana ni zaidi ya mara 20 kila akiongea yeye ni kutaja kiwango chake hicho cha elimu kana kwamba kuna mtu aliwahi kumkejeli ndani ya bunge kuhusu yeye kuwa la saba.

Mbona wabunge wengi ni la saba ila wapo kimya. Lameck Airo ni la saba ila hayupo inferior kama kaka yangu musukuma.

Kwani ni nani mwenye bachelor na kuandelea aliwahi kukukejeli kaka? Wapiga kura walijua wewe ni la saba still wakakupenda na kukupa nafasi, sasa where does that inferiority come from? Kila wakati eti mimi la saba. Achana na hizo kauli kaka. Jadili hoja makini.

Mkuu, stop feeling inferior aisee. Unakiangusha sana chama kwa namna hiyo.

KIJANA KUWA MZALENDO. IPENDE TANZANIA

NB: Mimi sina chama ila nampenda sana kaka yangu musukumu. Asijishushe sana kaka

An inferiority complex is the lack of self-worth, a doubt and uncertainty about oneself, and feelings of not measuring up to standards. It is often subconscious, and is thought to drive afflicted individuals to overcompensate, resulting either in spectacular achievement or extremely asocial behavior.
 
KAMA KUNA MTU ANABISHA KUWA MUSUKUMA SI DARASA LA SABA/AU HAELEWI KUWA MUSUKUMA NI DARASA LA SABA ATAKUWA ANA MATATIZO YA AKILI. Hata alichoandika tu kinaonesha Jamaa ni darasa la saba.
 
Back
Top Bottom