Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 618
R.I.P Mussa Silima...
<br />RIP MBUNGE!wewe babap a k a masegese,acha ushabiki wa kijinga.yaani unaombea wabunge wafe ili mchukue majimbo.mlishìndwa nini kuyachukua mapema.RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
RIP Mbunge.
Mbali na hilo tukio lililotupata watanzania kwa kuondokewa na mbunge, me nadhani pia ntaunga na Kibonde wa Radio Clouds FM jana alisema jambo mmoja muhimu sana kumetokea matukio mengi ya viongozi(esp Wabunge) hawa kukumbwa na ajari na kupoteza uhai wao, Je serikali sibora ikatoa uamuzi sasa kuwa Makao makuu ya serikali yasiwe kwa mdomo na kwa maandishi kwenye vitabu na wafanye kwa vitendo wahamie DODOMA kabisa, kuboresha Uwanaja wa Kimataifa wa ndege hapo Dodoma maana utajengwa kule njia ya kwenda Msalato ndiko eneo liliko pangiwa.
Sijui wana JF mwasemaje kwa hilo pia!!!!
<br />RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
CUF wataliziba............. RIP Silima Mungu ailaze roho yako pema peponi amina.RIP MBUNGE!
Pengo lako halitazibwa kamwe!
Jethro naona akili za Kibonde kidogo zimekupitia lengo la kuhamia Dodoma si kuepuka ajali, ajali inaweza kutokea popote pale hata kutoka Msalato kwenda bungeni unaweza kupata ajali, kinachotakiwa ni kuwa waangalifu kuepusha ajali zembe, halafu huyo Kibondemaji alichoona yeye ni kuzidi kwa ajali za viongozi tu za wananchi wa kawaida vipi zenyewe ziendelee.RIP Mbunge.
Mbali na hilo tukio lililotupata watanzania kwa kuondokewa na mbunge, me nadhani pia ntaunga na Kibonde wa Radio Clouds FM jana alisema jambo mmoja muhimu sana kumetokea matukio mengi ya viongozi(esp Wabunge) hawa kukumbwa na ajari na kupoteza uhai wao, Je serikali sibora ikatoa uamuzi sasa kuwa Makao makuu ya serikali yasiwe kwa mdomo na kwa maandishi kwenye vitabu na wafanye kwa vitendo wahamie DODOMA kabisa, kuboresha Uwanaja wa Kimataifa wa ndege hapo Dodoma maana utajengwa kule njia ya kwenda Msalato ndiko eneo liliko pangiwa.
Sijui wana JF mwasemaje kwa hilo pia!!!!
Magamba kwa kutumia akili za masaburini eti wanaanzisha posts zao halafu wanajijibu hovyo.Duh kumbe Chadema mwaombea watu wafe ili mchukue madaraka, mbona mnajali madaraka kuzidi uzima wa mtu. HIKI SI CHAMA NI KIKUNDI CHA WAHUNI WACHACHE WENYE UCHU WA MADARAKA (rf. Mh Shibuda)